- Thread starter
- #101
Mazungumzo yapoBrother, hii taarifa ya Simba kumhitaji kiungo mkabaji mwenye asili ya Ivory coast anaecheza EPL (ligi ya misri) ni kweli au !?
Someone, Toure 🤔
Mazungumzo yapoBrother, hii taarifa ya Simba kumhitaji kiungo mkabaji mwenye asili ya Ivory coast anaecheza EPL (ligi ya misri) ni kweli au !?
Someone, Toure 🤔
YupoHivi Abdulrazak hamza wa simba yupo?
Anatakiwa kwenda kufanyaje? Labda kwenda kumkokea moto mzee Chama awe anaota bila shidaPacome anatakiwa na simba
Kwa hiyo Simba Bado hawajaamua kati ya nkeng na BakareKelvin Bakare anatakiwa na Azam na Simba
YesKwa hiyo Simba Bado hawajaamua kati ya nkeng na Bakare
Fadlu sio kocha mbaya mkuu. Pia kocha anaweza akawa na CV ya kawaida ila baadae akaja akafanya maajabu. Anaweza akawa na CV kubwa kama yule Pedro ila akaja akashindwa akili na kocha wa kawaida kama Moalin.Kocha Fadlu Davids kwenda Yanga, aisee mbona kama Yanga ya Hersi inaelekea kubaya zaidi katika kufanya scouting.
Ameenda timu gani?
Mkataba wake umeisha. Makubaliano ya kuongeza yalishindikana. Mwamba akaamua kujiunga na timu ya nchini kwake Zimbabwe ya Hardrock Fc iliyopanda ligi kuu.
Herse zaidi ya copy and padte kwa Simba hana anachojuaKocha Fadlu Davids kwenda Yanga, aisee mbona kama Yanga ya Hersi inaelekea kubaya zaidi katika kufanya scouting.