Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Mkuu @Hichilema inasemekena kuwa Karim Kimvudi .yupo huru huko South Africa. Vipi Simba, Yanga na Azam hawajamuona huyu mwamba anayejua kupiga kazi na wakati huo huo kukuburudisha wamsajili ili watuletee burudani kwenye ligi yetu msimu ujao.
 
Nitarudi hapa
 
Huyu arudi tu alikotoka. Mechi za mwisho alizopewa nafasi ya kucheza, alionesha kiwango cha chini sana ukimlinganisha na mbadala wake Yao Kwasi aliyoetoka majeruhi.
Ndio kiwango chake, sema Yao ni daraja jingine kabisa Tz, anapokiwasha hakuna wa kukaribia daraja lao. Binafsi humuona kama mchezaji wa daraja la juu kuliko wote Tz.
 
Kassali hatoshi. Pinpin ana hatihati kutimkia Ufaransa
Brother, hii taarifa ya Simba kumhitaji kiungo mkabaji mwenye asili ya Ivory coast anaecheza EPL (ligi ya misri) ni kweli au !?
Someone, Toure 🤔
 
Pin pin na kassali hawatoshi?
Pin Pin labda iwe majeraha au kutaka kuondoka lakini bado anahitajika sana pale Simba. Lakini kwa wanaojua mpira huyo Kasali sio "level" ya Simba kabisa. Ana makosa mengi sana ya kiufundi halafu yeye mwenyewe hajui kwa sababu anayarudia kila siku. Basi tu makocha na wachezaji wengi wa ligi yetu sio wajanja sana vinginevyo ingekuwa kilio kwa Simba kila mechi.
 
Back
Top Bottom