Wanamfikiria Nashon. Mutasingwa is too slowSimba hawamwonagi Aldof Mutasingwa...
Naona Kagoma hatoshi.
Ina asilimia kadhaaMkuu Hichilema hii tetesi ya Sopu kwenda Simba ina ukweli au ni redio mbao tu za waandishi uchwara?
Sawa mkuu ila naona kama hao wanaofanya usajili hapo Simba hawataitendea haki Simba. Sopu kwa Simba hii kiwango ilipofika Sopu sio chaguo sahihi ni bora mara mia kama wanahitaji winga basi wamrudishe Karabaka au wamsajili yule William Edgar ambaye anaweza kucheza "almost" nafasi zote za mbele kwa ufanisi mkubwa na ana nguvu na kasi sana inayoendana na Simba hii ya moto iliyopo sasa hivi.Ina asilimia kadhaa
AiseeeFrolent Ibenge ataondoka Azam muda wowote kuanzia sasa na kuwa kocha mkuu wa Mali
huyo ni kocha wa maisha wa makolo.Vipi Matola nasikia kaondoka Simba.