- Thread starter
- #141
WaturukiHii itakuwa Waarabu watakuwa wameshafika bei. Halafu baada ya msimu mmoja ikizidi sana miwili wanamtema. Yale yale ya Tusila, Chama, Ahoua, Aziz Ki na wengineo.
WaturukiHii itakuwa Waarabu watakuwa wameshafika bei. Halafu baada ya msimu mmoja ikizidi sana miwili wanamtema. Yale yale ya Tusila, Chama, Ahoua, Aziz Ki na wengineo.
Suala la kuuzwa ni la pande mbili kwa mujibu wa mkataba, kwa nini umeilaumu Simba na sio AnicetAloo tukimpoteza huyu mwamba taamini Simba tumejaza wapuuzi
Hapa mchawi ni kibundaSuala la kuuzwa ni la pande mbili kwa mujibu wa mkataba, kwa nini umeilaumu Simba na sio Anicet
Aelewe hilo, mchezaji akipata dau mara 5 ya hapa utalaumu viongozi?Hapa mchawi ni kibunda
Jiepushe na tetesi za vijiwe vya kahawa.Hersi kaishiwa maarifa saivi anachukua tu makapi, mara Azizi Ki mara Fadlu. Anafanya sajili za kubahatisha tu kwasasa. Ile zimwi ya ujuaji na ujeuri na ujivuni wa kujiona Perez wa bongo na kumuacha Miloud kizembe bila kumpa mkataba mpya itaendelea kumtafuna katika scouting zake. Ameanza kuonekana mweupe kwenye scouting na bado anazidi kuharibu zaidi. Fadlu sio mpya Tanzania mbinu zake tumeziona ni wa kawaida sana kimbinu na ufundi.
Keep an eye on Rushine De Reuck
Keep an eye on Inno Loemba
Klabu serious hubakiza wachezaji bora kwa namna yeyote mzee...Suala la kuuzwa ni la pande mbili kwa mujibu wa mkataba, kwa nini umeilaumu Simba na sio Anicet
Inno ni mzuri ila acha aende...Keep an eye on Inno Loemba
LohKeep an eye on Rushine De Reuck
Acha masihara mkuu, huyu anatakiwa afit kwenye mfumo, angalau aangaliwe msimu huu. Anaweza kuwa kiungo tegemezi. Tunaenda kupambana Africa sasa, na mtani anajikoki haswa.Inno ni mzuri ila acha aende...
Impact yake ni wastani.
Mbona balaa.Keep an eye on Rushine De Reuck
Umeona hii hatari...Mbona balaa.
Acha tu mkuu. Tunarudi kwenye trial and error za kina jobe na mlete mzungu badala ya kuimarisha kikosi.Umeona hii hatari...
Vuta picha Oura, Rushin wote wasepe kwa kigezo cha offa nzuri...
Tunaanza upya...
Utopolo siwapendi ila wanatushinda kwenye hili la kushawishi wachezaji wazuri wabaki...