Kwani ile mechi na timu ya Angola ilikuwa ya mashindano ganiAcha masihara mkuu, huyu anatakiwa afit kwenye mfumo, angalau aangaliwe msimu huu. Anaweza kuwa kiungo tegemezi. Tunaenda kupambana Africa sasa, na mtani anajikoki haswa.
Simba kuna wajuaji, kuna kipindi walikuwa na timu nzuri wakaanza kusajili ovyoovyo kina Chikwende kipindi kile kahata kawekwa pembeni waliyemsajili hata hakudumu.Inno ni mzuri ila acha aende...
Impact yake ni wastani.
Bado usajili wa Yanga hapo ni bora kuliko wa kwetu SimbaYanga tumezingua kwenye usajili msimu huu
Huyu dogo namsikitikia sana...