Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Natamani mbwembwe za usajili za mwaka jana awamu hii zisitokee tena.
Usajili wa mwaka jana ulikuwa ni wa hovyo sana. Wachezaji wote walikuwa ni magarasa. Kwenye usajili wa dirisha dogo ni Allan Okello pekee ndiyo ameonesha thamani yake.
The rest na wenyewe ni majanga tu. Ni Simba pekee ndiyo walifanya usajili makini baada ya kuja kocha wao Steve Barker.
 
FB_IMG_1784611267345.jpg
 
Back
Top Bottom