Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

FB_IMG_1784959162061.jpg
 
Libase
 
Mkuu Hichilema tumeona Yanga wamemleta Cheikh Toure na Simba wamemleta Doumbia. Kwa hiyo zile tetesi za
1. Girimugisha na Shalulile kwa Yanga
2. Shalulile na Sede Junior kwa Simba
zimeyeyuka?
 
Mkuu Hichilema tumeona Yanga wamemleta Cheikh Toure na Simba wamemleta Doumbia. Kwa hiyo zile tetesi za
1. Girimugisha na Shalulile kwa Yanga
2. Shalulile na Sede Junior kwa Simba
zimeyeyuka?
Kwa bei ya Girimugisha, hakuna timu Bongo inaweza kumnunua kwa sasa. Bilioni 3 hela za madafu! Utakuwa ni uongo. Nilimsikiliza wakala wake akiongea kwa tambo kabisa. Labda timu za Waarabu.
 
Back
Top Bottom