Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Kwa usajili upi wa hao vikomgwe na Vinyozi?Achana na ligi maana hata kina depu wanatosha, Naona kama Yanga Sasa hivi wanataka kufika mbali Club bingwa.
Kwa usajili upi wa hao vikomgwe na Vinyozi?Achana na ligi maana hata kina depu wanatosha, Naona kama Yanga Sasa hivi wanataka kufika mbali Club bingwa.
Zote mbiliKwa timu gani mzee?
Eti amemiss kula ugali na sukari tena!?😄Keep an eye on Feisal Salum
libase hakuna mchezaji pale, mchezaji amejikunja kama bondia. Mguu mmoja na king'ang'anizi na mbinafsi.Kwa wasiojua boli kama wewe wanasema hivyo
HahahaKwa usajili upi wa hao vikomgwe na Vinyozi?
Mjomba mchezaji mzuri hasubiri mpaka aingie uwanjani dakika ya 70 ndiyo aoneshe ubora wake. Mchezaji mzuri anaonekana kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo.Kocha wa Simba anaua confidence ya wachezaji wapya...
Kwa maoni yangu alipaswa awe anaanza na wazoefu kikosini, baadae hata dk ya 70 ndio waingie wageni...
Unamuanzisha mgeni kwenye mechi ya pressure?
Ukute wewe hata kudunda mpira hujui.Simba yule striker Doumbia wametapeliwa
Timu gani?Mbona nasikia shaulile katambulishwa kuweit...
Nakuombea aperform vinginevyo jina la Vinjabei ni lake.