Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Wakuu huyo mchezaji ambaye GSM amesema ameisumbua Yanga sasa ameshamsajili, ni nani?
 
FB_IMG_1785878669821.jpg
 
Bila shaka tumekidhi kiu yenu wananchi au bado? Tulizoea story za wewe ni kolo huna taarifa za Yanga na wachache wetu wakadiriki kututumia matusi. Tusameheni kwa mliopigwa ban this time.
 
Back
Top Bottom