Kwa huyu nawapongeza Yanga. 💪💛💚 Wameonesha wako serious. Huyu mwamba alikuwa na uwezo wa kuongeza mkataba wa kubakia Mamelodi, lakini yeye mwenyewe alitaka changamoto mpya! Simba walijaribu kumshawishi, akawachinjia baharini.
Ngoja tusubiriBado Kuna sajiri za kutisha
Huu ndio usajili wa maana kabisa. Hongereni viongozi wa Yanga. Uzoefu wake kimataifa utaisaidia sana Yanga msimu huu unaokuja.
Nasikia Azizi ki kasaini yanga.Huu ndio usajili wa maana kabisa. Hongereni viongozi wa Yanga. Uzoefu wake kimataifa utaisaidia sana Yanga msimu huu unaokuja.
Umeongea jambo la msingi sana. Msimu uliopita ilifikia wakati Diarra alianza kususa kucheza kwa sababu ya mabeki wabovu pale nyuma wakiongozwa na Kapteni Mwanyeto.Ni usajili mzuri, lakini Hawa wote waliosajiliwa mpaka sasa ni wachezaji wa nafasi za mbele, Yanga hawana tatizo sana kwenye suala la kufunga maana timu yao ina wachezaji wengi tu wenye uwezo wa kufunga, shida ipo kwenye kiungo hadi kwenye beki. Bado timu iko na wachezaji walewale tu kwenye hizo nafasi, hofu yangu ipo hapo tu.
Kwa timu gani mzee?Bado Kuna sajiri za kutisha
Achana na ligi maana hata kina depu wanatosha, Naona kama Yanga Sasa hivi wanataka kufika mbali Club bingwa.Ni usajili mzuri, lakini Hawa wote waliosajiliwa mpaka sasa ni wachezaji wa nafasi za mbele, Yanga hawana tatizo sana kwenye suala la kufunga maana timu yao ina wachezaji wengi tu wenye uwezo wa kufunga, shida ipo kwenye kiungo hadi kwenye beki. Bado timu iko na wachezaji walewale tu kwenye hizo nafasi, hofu yangu ipo hapo tu.
Kuna siku wakala wake alikua anahojiwa na EFM radio alisema mchezaji Girimugisha anauzwa Bilioni 3 hivi hela za madafu! Na aliweka wazi timu zote kubwa za Yanga, simba na Azam zilipeleka ofa zao! Lakini hazijafikia hilo dau lao.Vipi kuhusu Girimugisha kwenda Yanga?
Azizi Ki je kurudi Yanga imekaaje?
Ha ha ha bado mapema mkuu.Simba yule striker Doumbia wametapeliwa
Hiyo ipo dhahiri, naona timu imedhamiria kufika mbali zaidi kimataifa.Achana na ligi maana hata kina depu wanatosha, Naona kama Yanga Sasa hivi wanataka kufika mbali Club bingwa.
Mtu unamuona tu touches zake hata asipofunga. Mtu kama Libasse au Mahagwa huhitaji nguvu kumtetea. Sasa streka anadunda dunda tuHa ha ha bado mapema mkuu.
Libasse mtu sana yule.Mtu unamuona tu touches zake hata asipofunga. Mtu kama Libasse au Mahagwa huhitaji nguvu kumtetea. Sasa streka anadunda dunda tu
Kwa wasiojua boli kama wewe wanasema hivyoSimba yule striker Doumbia wametapeliwa