Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Akija si Mhindi wenu mjanja mjanja atasema anawadai deni la bilioni 200 za kumsajili?
Hakuna tajiri anatoa pesa ya bure mkuu...

MO atoe bilioni 5 kwa kujitolea?

Vinginevyo hao wahuni kina Mangungu waseme hizo hela ziwe zinaandikwaje kwenye vitabu vya mapato na matumizi...

Pesa ya MO kuandikwa kama deni ni sawa tu, maana tuko kwenye transition.
 
Kama Fei ataondoka Azam nina uhakika atakuja Simba.
Kwani zile hasira za boss baada ya mechi ya derby ya Dar es salaam na kutishia kuhamisha timu Zanzibar umezisahau? Saivi hakuna huruma huruma za kirafiki kama zamani. Kila mmoja anapambana apate mafanikio ya timu yake.
 
,
 

Attachments

  • Screenshot_20260811_065156_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260811_065156_WhatsApp.jpg
    327.9 KB · Views: 9
Kilichofanyika kwenye usajili wa Mwalimu ni dharau na fedheha kwa mashabiki wa simba. Kama viongozi wao ni waungwana, basi wajitokeze hadharani kuomba radhi.
 
Kilichofanyika kwenye usajili wa Mwalimu ni dharau na fedheha kwa mashabiki wa simba. Kama viongozi wao ni waungwana, basi wajitokeze hadharani kuomba radhi.
Kawaida sana...

Hata sisi tumewachukua wachezaji wenu wengi sana pale Nyerere airport...

Nawaomba viongozi wetu wamuweke mbali Mangungu na mipango ya timu
 
Kawaida sana...

Hata sisi tumewachukua wachezaji wenu wengi sana pale Nyerere airport...

Nawaomba viongozi wetu wamuweke mbali Mangungu na mipango ya timu
Mjomba hili jambo siyo la kawaida. Mimi kwa macho yangu niliushuhudia ule utambulisho wa Mwalimu. Hao wachezaji waliochukuliwa airport hawakuwahi kutambulishwa hadharani. Tukubali hili jambo ni fedheha na dharau kwa mashabiki.
 
Back
Top Bottom