Hizi tetesi za Feisal kwenda Simba zinaweza kupewa uvumi mkubwa ili kupunguza makali ya Selemani Mwalimu kwenda Yanga.
Na ikiwa Feisal akaenda Simba, basi hapo lazima nguvu ya tajiri mmoja ionekane zaidi, iwe ni MO au ni JayRuty. Yoyote ashidaye hapa, atakuwa na nguvu kubwa kuliko mwenzake. MO ameshafanya makubwa sana Simba, ni wakati wake wa kukaa pembeni kuvuna heshima aliyejijengea Simba.
Feisal akienda Simba lazima aimbwe na kupewa hadhi ya juu zaidi kuliko mchezaji yoyote yule kuliko akienda Yanga.