Dooh, basi hapo uwezekano wa Azizi Ki kurudi ni mkubwa kama usemavyo.Allan Okello ameuzwa Far Rabat ya Morocco baada ya kuipiku Wydad
Dooh, basi hapo uwezekano wa Azizi Ki kurudi ni mkubwa kama usemavyo.Allan Okello ameuzwa Far Rabat ya Morocco baada ya kuipiku Wydad
Akiuzwa si balaa lingine pale Simba Mkuu?Anicet Oura anaweza kuuzwa
Heri nusu shari. Acha auzwe angalau Simba wapate nafasi ya kusajili mshambuliaji wa kati wa kimataifa. Huko pembeni wanaweza kuunga unga hata yule Msimu akasogeza sogeza muda mpaka dirisha dogo. Huyo Doumbia viongozi wanaona aibu kumuondoa heri wafe na tai shingoni kuliko kupata aibu.Akiuzwa si balaa lingine pale Simba Mkuu?
Halafu muda umeenda sasa, bora wamtoe kwa mkopo ila yamkini kupata replacement yake kwa haraka ni mtihani pia. Selemani Mwalimu angeweza kuwa na msaada zaidi baada ya Doumbia kuondoka.Heri nusu shari. Acha auzwe angalau Simba wapate nafasi ya kusajili mshambuliaji wa kati wa kimataifa. Huko pembeni wanaweza kuunga unga hata yule Msimu akasogeza sogeza muda mpaka dirisha dogo. Huyo Doumbia viongozi wanaona aibu kumuondoa heri wafe na tai shingoni kuliko kupata aibu.
Namba 9Anacheza nafasi gani?
Yeah. StrikerNi striker sio? Itakuwa vizuri kwa Simba. Ningependa Simba na Yanga zifike mbali kimataifa though mimi ni Yanga.
Hamnaga Yanga anayeitakia kila la kheri Simba kimataifa. Wewe ni mamluki mkuu.Ni striker sio? Itakuwa vizuri kwa Simba. Ningependa Simba na Yanga zifike mbali kimataifa though mimi ni Yanga.
Unanisingizia😁
DuhHamnaga Yanga anayeitakia kila la kheri Simba kimataifa. Wewe ni mamluki mkuu.
Mshawishi boss kazi amsajili na Ahmed ally pamoja na jux wanapitia wakati mgumUnanisingizia😁
Wabongo🙌,Mshawishi boss kazi amsajili na Ahmed ally pamoja na jux wanapitia wakati mgum
Huyu tayari alisha sign mkataba wa miaka mitatu.Ibrahim Nindi anatakiwa na Simba
Hatari sana watu wanapochagua kuishi kwa uongoSimba ni wahuni sana, hivi wanaelewa hata wanataka nini?
Baada ya mkosi mkasa. Kila siku nasema pale Simba mwenye nguvu ya kusajili sidhani kama amewahia kupiga hata dana dana mbili bila mpira kuanguka chini. Amekariri kuwa mshambuliaji namba tisa lazima liwe jitu fulani la miraba minne hivi mfano Fredy, Mwangosi, Doumbia wakati hiyo mijitu yenye miili mikubwa ni michache sana inayonyumbulika uwanjani.Ismail Mgunda amejiunga na Simba