Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Keep an eye on Allan Okello
timu ya utopolo ni moj ya timu yenye roho mbaya sana na roho ya kisasi na husda ..ila sababu rais wa hio timu anayotaka kwenda kashaswma ana "mahaba" na injinia wa mchongo basi labda Dili litakua rahisi na mwalimu ndio chambo
 
Wewe ni hawala yangu ?
Hapana ni mumeo.

Lete habari zilizokamilika.

Hata kama una hasira kama mwanasimba jitahidi usizioneshe.

Tuletee habari zilizokamilika.

Kama huwezi unakausha sio lazima.

Huwezi kutuletea vitu nusu nusu kisa sio lazima kuleta.
 
Wakuu, habari za Azizi Ki kurudi Yanga zina uhalisia wowote ule?
 
Back
Top Bottom