Tetesi: Tetesi za usajili Ligi Kuu msimu wa 2026/27

Yanga tafadhari timu yangu msimsajili Chobwedo, hiyo ni aina ya uchezaji ya Simba. Mwacheni akashindane mwendo na Libase Gueye.
 
Mkuu Hichilema hii tetesi ya Sopu kwenda Simba ina ukweli au ni redio mbao tu za waandishi uchwara?
 
Ina asilimia kadhaa
Sawa mkuu ila naona kama hao wanaofanya usajili hapo Simba hawataitendea haki Simba. Sopu kwa Simba hii kiwango ilipofika Sopu sio chaguo sahihi ni bora mara mia kama wanahitaji winga basi wamrudishe Karabaka au wamsajili yule William Edgar ambaye anaweza kucheza "almost" nafasi zote za mbele kwa ufanisi mkubwa na ana nguvu na kasi sana inayoendana na Simba hii ya moto iliyopo sasa hivi.
 
Adolph Mutasingwa Bitegeko anatakiwa na Young Africans
 
Frolent Ibenge ataondoka Azam muda wowote kuanzia sasa na kuwa kocha mkuu wa Mali
 
Abdulkarim Watambala anatakiwa na Simba SC
 
Seleman Matola anaweza kuwa kocha mkuu wa Geita Gold kama itapanda daraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…