Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tunaongelea fact siyo hisia bro. Kanuni za FFP na FIFA zinaruhusu kinachofanyika? Kwa nini udhamini wa GSM kwa ligi kuu ulikoma ghafla baada ya Barbara kusimamia kucha? Ushindani upi unaoongelea ? Angalia mechi za Yanga vs Coastal , Prisons na Namungo kabla na baada ya udhamini afu niletee matokeo
Mbona Simba ndie kapata kipigo kizito hata zaidi ya hizo timu ulizotaja?
 
Back
Top Bottom