Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Msimu wa usajili ukiwadia, kila mchezaji utashangaa anahusishwa na simba!

Imagine mpaka Stephane Aziz Kii naye anahusishwa na simba! Lomalisa aliyekejeliwa na simba hao hao wakati anasajiliwa Yanga kwa kuitwa dada Joy/ce; naye eti anahusishwa na simba!!
Simba in fanbase kubwa mitandaoni taarifa zake zinatrend kutengeneza maokoto kwa magazeti
 
Back
Top Bottom