Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Hata robo inaweza kuwa shida. Jengeni timuSi ajabu na huko shirikisho tukaishia robo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata robo inaweza kuwa shida. Jengeni timuSi ajabu na huko shirikisho tukaishia robo
Nitafurahi sanaPep Guardiola Mnene anaweza kuwa kocha mkuu Simba SC
Hakuna ajuayeSi ajabu na huko shirikisho tukaishia robo
Kuchezea helaYusuph Kagoma kasinya Simba sc
Atacheza namba ya nani pale Simba?.Yusuph Kagoma kasinya Simba sc
Hapana bro jamaa kwa wazawa ni chaguo sahihiKuchezea hela
Abdallah Hamis anaondoka. Si kila mchezaji ni first choice, wengine huja kuongeza upana wa kikosiAtacheza namba ya nani pale Simba?.
Kuna nyakati naona wachezaji wazawa wakienda pale Simba kwa sasa ni kama kwenda kukua na kukalia mbao ndefu tu.
Asilimia kubwa hawapewi nafasi baada ya kusajiliwa
Yeah.Yusuph Kagoma kasinya Simba sc
Kagoma siyo chaguo sahihi kwenda Simba hana quality yoyote ya kumzidi Mzamiru wala Hamis Abdallah.Hapana bro jamaa kwa wazawa ni chaguo sahihi
Lawi kashasajiliwa na ni beki wa kati. Kelvin ana shida hewani, Greyson ana msimu mwingine wa kuprove, Mzamiru ni mzuri ila umri unaenda. Abdallah ameshindwa kuonesha kituKagoma siyo chaguo sahihi kwenda Simba hana quality yoyote ya kumzidi Mzamiru wala Hamis Abdallah.
Kwa wazawa mchezaji wa kusajili ni Lawi, Greson Gerlad Gwalala na Kevin Nashon Naftali
Huyu wangemuacha, huwa anajitahidiThank you , Kennedy Wilson Juma
Tunafanya makosa yaleyaleThank you , Kennedy Wilson Juma
Bora kuwa na Greyson ameprove kwenye timu yenye bajeti ndogo Mara kumi zaidi ya Singida ni profile perfect kwa SimbaLawi kashasajiliwa na ni beki wa kati. Kelvin ana shida hewani, Greyson ana msimu mwingine wa kuprove, Mzamiru ni mzuri ila umri unaenda. Abdallah ameshindwa kuonesha kitu
beki mzuri sana, ni bora wangemuacha Che Malone, huyu na Lawi wangetoshaThank you , Kennedy Wilson Juma
Ni mapendekezo ya kocha wetu Gadiola Mnene!Tunafanya makosa yaleyale
Hivi mnatazama kweli mechi au performance ya mchezaji mmoja mmoja. Huyu kachomesha mara ngapi na kugeuka kwake kama ng'ombe.Tunafanya makosa yaleyale
Gwalala sio mzawaKagoma siyo chaguo sahihi kwenda Simba hana quality yoyote ya kumzidi Mzamiru wala Hamis Abdallah.
Kwa wazawa mchezaji wa kusajili ni Lawi, Greson Gerlad Gwalala na Kevin Nashon Naftali