Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Yusuph Kagoma kasinya Simba sc
Atacheza namba ya nani pale Simba?.

Kuna nyakati naona wachezaji wazawa wakienda pale Simba kwa sasa ni kama kwenda kukua na kukalia mbao ndefu tu.

Asilimia kubwa hawapewi nafasi baada ya kusajiliwa
 
Abdallah Hamis anaondoka. Si kila mchezaji ni first choice, wengine huja kuongeza upana wa kikosi
 
Hapana bro jamaa kwa wazawa ni chaguo sahihi
Kagoma siyo chaguo sahihi kwenda Simba hana quality yoyote ya kumzidi Mzamiru wala Hamis Abdallah.

Kwa wazawa mchezaji wa kusajili ni Lawi, Greson Gerlad Gwalala na Kevin Nashon Naftali
 
Lawi kashasajiliwa na ni beki wa kati. Kelvin ana shida hewani, Greyson ana msimu mwingine wa kuprove, Mzamiru ni mzuri ila umri unaenda. Abdallah ameshindwa kuonesha kitu
 
Bora kuwa na Greyson ameprove kwenye timu yenye bajeti ndogo Mara kumi zaidi ya Singida ni profile perfect kwa Simba
 
Kagoma siyo chaguo sahihi kwenda Simba hana quality yoyote ya kumzidi Mzamiru wala Hamis Abdallah.

Kwa wazawa mchezaji wa kusajili ni Lawi, Greson Gerlad Gwalala na Kevin Nashon Naftali
Gwalala sio mzawa
 
Back
Top Bottom