Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Mkuu hivi unafuatilia mpira!?
Mbona timu ulizotaja msimu huu Yanga alipata tabu kupata matokeo?
Tena kama coastal Yanga anakuja kupata goli dakika za jioni ten goli moja.
Umefuatilia Mpira na Ihefu nusu fainali CRDB?
Umefuatilia game ya ihefu Mbarali ya 2-1 dhidi ya Yanga?
Je hapo upinzani haukuoneshwa??
Embu kuwa reasonable basi mkuu.

Nadhani simba iliyoliwa goli tano nayo inadhaminiwa na GSM
 
Huu uongozi umekaa vilaza badala ya kusajili wachezaji wa kuziba nafasi wanasajili kwa mtazamo wao.
Mkuu utapata ugonjwa wa moyo bure kwa huo uongozi wa Simba. Pale Kwa Try Again na Mangungu hakuna anayeujua mpira na sajili zao nyingi ni za "youtube" na kudanganywa na mawakala na madalali wao waliopo hapa nchini ambao ni waandishi wa habari za michezo.

Mbaya zaidi Mangungu anahojiwa kuhusu usajili anasema anasubiri taarifa ya benchi la ufundi wakati wenzao Azam na Yanga wapo mbele ya muda wanamalizia usajili. Mwisho wa siku wapenzi na mashabiki wa Simba wanawekwa roho juu na yule "comedian" wasubiri saa saba mchana umeme utakatika matokeo yake wanatangazwa Freddy "funga funga" na Jobe.
 
Back
Top Bottom