Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Anampisha Lawi
Huyo Lawi bado anajitafuta, hatuwezi amini moja kwa moja kama atajipata au laa hapo Simba.

Kuna wachezaji vijana wazawa wengi wanafanya vizuri kwenye timu zisizo na pressure, wakija Simba au Yanga unawakataa. Tena bora Yanga hata nafasi kidogo kidogo wanapewa ila Simba ni tatizo kuvumilia mchezaji anayechipukia.

Kenedy alishajipata, akawa na usitahimilivu wa hali zote, ila kwa vile imeamliwa hivyo, tunamtakia kila la heri huko aendako.
 
Pep Guardiola mnene atampa nafasi
 
Simba wasiingie mkenge kufata maneno ya wachambuzi naashabiki wa utopolo wakampa mkataba Juma.Mgunda, mechi za Kagera na Namungo.amepoteza point kijinga kwa kukosa mbinu mbadala.
 
Pep Guardiola mnene atampa nafasi
Simba hawako serious kabisa!! Yaani msimu ujao ndio wanategemea mgunda awape ubingwa!! Simba inaonekana imeshapoteana kabisa viongozi hawajui wafanye nini?

Halafu huu ujinga wa kumfukuza kocha halafu mnamuacha mlangoni ndio kunaleta sabotage kubwa! Hawajifunzi kwa yanga! Yanga waliwatoa wakina mkwasa! Pondamali, moja kwa moja walibaki kama mashabiki uko! Hawana access na timu tena!

Simba ilimtoa kwenye timu mgunda ikampa cheo cha kimagumashi cha ukurugenzi wa ufundi! Mara ikampeleka sijui kuwa kocha wa wanawake!mara gafra akarudishwa senior timu! Ujinga mtupu! Business as usual tu!
 
Simba wasiingie mkenge kufata maneno ya wachambuzi naashabiki wa utopolo wakampa mkataba Juma.Mgunda, mechi za Kagera na Namungo.amepoteza point kijinga kwa kukosa mbinu mbadala.
Juma Mgunda ni spare tyre. Kocha mpya ni Mreno kutoka timu ya Petro Atletico ya Angola. Na msaidizi wake lazima abakie Selemani Matola.

Ligi ikichanganya au ikielekea tamati na timu kukata moto! Mtamrejesha tena Juma Mgunda kwa mbwembwe, kuokoa jahazi.
 
Huyo Lawi bado anajitafuta, hatuwezi amini moja kwa moja kama atajipata au laa hapo Simba.

Kuna wachezaji vijana wazawa wengi wanafanya vizuri kwenye timu zisizo na pressure, wakija Simba au Yanga unawakataa. Tena bora Yanga hata nafasi kidogo kidogo wanapewa ila Simba ni tatizo kuvumilia mchezaji anayechipukia.

Kenedy alishajipata, akawa na usitahimilivu wa hali zote, ila kwa vile imeamliwa hivyo, tunamtakia kila la heri huko aendako.
Tatizo umri
 
Back
Top Bottom