Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anacheza namba ngapi huyu..Karim Kimvuid anatakiwa na Young Africans
KiungoAnacheza namba ngapi huyu..
Kwanini unauliza na wakati hii ni thread ya tetesi?Chama to Yanga?
Huyu kweli ataweza kuendana na ile kasi Gamondi na kupokonya mipira? Haya ngoja tuone kama usajili ukikamilika nini ataweza ku offer kwa Yanga maana ni mchezaji wa anayependa ufadha na pia umri umeenda.Chama to Yanga?
Gamondi ataingia kwenye mfumo wa Chama au aende u 20 kama alivyosema Kwa OkraHuyu kweli ataweza kuendana na ile kasi Gamondi na kupokonya mipira? Haya ngoja tuone kama usajili ukikamilika nini ataweza ku offer kwa Yanga maana ni mchezaji wa anayependa ufadha na pia umri umeenda.
Yanga sio Simba, kama Chama hawezi kuendana na falsafa ya kocha basi benchi hatakalia na hakuna na wa kumpangia kocha sio mashabiki sio viongozi. Sio Simba akiwekwa benchi tu Chama basi maandamano kumshinikiza kocha aingie kwenye mfumo wa Chama. Okrah na Mkude ni mfano halisi, japo Mkude sio sawa na Okrah Mkude ni mali ile kwenye kiungo.Gamondi ataingia kwenye mfumo wa Chama au aende u 20 kama alivyosema Kwa Okra
Ngoja tuoneYanga sio Simba, kama Chama hawezi kuendana na falsafa ya kocha basi benchi hatakalia na hakuna na wa kumpangia kocha sio mashabiki sio viongozi. Sio Simba akiwekwa benchi tu Chama basi maandamano kumshinikiza kocha aingie kwenye mfumo wa Chama. Okrah na Mkude ni mfano halisi, japo Mkude sio sawa na Okrah Mkude ni mali ile kwenye kiungo.
Uyu naona bado alikua na kitu sema nafasi tu aliikosaAyubu lyanga kapewa mkono wa kwaheri Azam fc
Namkubali sana uyu jamaa,Ayoub Lyanga to Simba SC?