Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Mtasingwa huyu anakipiga timu gani?
Ni m bongo ama wanje?
Ni kijana wa Kitanzania aliyekuzwa na kulelewa na Azam. Baadaye akaenda kucheza Ulaya ya mbali huko.

Aliporudi, Azam wakampa mkataba kiduchu wa mwaka mmoja! Na sasa amebakiza miezi isiyozidi 6 kwenye huo mkataba wake. Tetesi zinasema Yanga wanataka kumsajili.
 
Ok nishamkumbuka huyo dogo, bila shaka alicheza ile game yetu ya fainal dhidi yao.

Nakumbuka alicheza pale kati yeye na Bin Zayd, hata kwenye upigaji wa pernati na yeye alifunga pernat mzuri tu.

Shukran mkuu.
 
Huyo dogo ni kimwekumweku hatari. 😀😃😄😁
 
Ok nishamkumbuka huyo dogo, bila shaka alicheza ile game yetu ya fainal dhidi yao.

Nakumbuka alicheza pale kati yeye na Bin Zayd, hata kwenye upigaji wa pernati na yeye alifunga pernat mzuri tu.

Shukran mkuu.
Sahihi kabisa. Fundi sana huyo dogo.
 
Huyu asipokuwa makini baada ya msimu mmoja atatemwa.

Upande wa Hussein ni mgumu kushindania namba maana jamaa haumii na anaweza cheza mechi zote za msimu kwa kiwango karibu kilekile.

Pia inasadikika kiasili hajambo ila sina uhakika.
Itategemea na mfumo wa kocha na mambo mengine
 
Kwa hiyo Duchu kuna uwezekano wa kutolewa kwa mkopo tena?.

Nimesikia Baba Ester na Mwenda wameongezewa kandarasi, kwa hiyo Duchu atakuwa backup ya upande upi?.
 
Back
Top Bottom