Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Mkuu, nafasi ya inonga anakuja nani? Nafasi ya chama anakuja nani? Kiungo mkabaji ni nani?
Kiungo mkabaji ni Augustine Okejepha toka Rivers united ya Nigeria na Yusuph Kagoma kutoka Singida. Nafasi ya Inonga bado anatafutwa dili linakaribia kutiki, ya Chama bado
 
Kiungo mkabaji ni Augustine Okejepha toka Rivers united ya Nigeria na Yusuph Kagoma kutoka Singida. Nafasi ya Inonga bado anatafutwa dili linakaribia kutiki, ya Chama bado
Huyo trabita sjui kama nimepatia jina lake imekuaje mkuu
 
Wachezaji waliosajiliwa na Simba SC so far
1. Augustine Okejepha( namba 6)
2. Yusuphu Kagoma(namba 6)
3. Lameck Lawi ( beki wa kati)
4. Joshua Mutale (winga)
5. Elie Mpanzu (winga)
6. Steven Mukwala( striker)
7. Jean Charles Ahoua
 
Wachezaji waliosajiliwa na Simba SC so far
1. Augustine Okejepha( namba 6)
2. Yusuphu Kagoma(namba 6)
3. Lameck Lawi ( beki wa kati)
4. Joshua Mutale (winga)
5. Elie Mpanzu (winga)
6. Steven Mukwala( striker)
Mbona kuna taarifa zinaonesha huyo Mnigeria amesaini Orlando Pirates baada ya kuweka dau kubwa mezani kuliko lile la simba!
 
Back
Top Bottom