Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Mpira wa kisiasa umetoka Kwa kusajili wachezaji wa kocha. Timu zinajenga falsafa zake na kuwa na wakurugenzi wa ufundi. Wachezaji wanasajiliwa kulingana na falsafa za timu.
Simba ina mkurugenzi wa Ufundi ??? au Riasi wa heshima ndio mkurugenzi wa Ufundi
Kwa miaka 4 iliyopita Simba ilikuwa inafanya makosa makubwa kwenye usajili mkielezwa mlikuwa mnabisha
now angalieni msije mkaendelea kufanya makosa yaleyale
 
yes juma mgunda
 
Jean Charles Ahoua, MVP wa Ivory Coast ni rasmi Sasa ni mnyama
Huyo mpaka atie saini kwanza ndio itakuwa rasmi. Hata kamati ya usajili inajua hivyo. Hao wachezaji wa pande hizo wanakuwaga na ofa kibao nyuma ya pazia. Simba bado wana kumbu kumbu nzuri ya kilichowakuta kwa Morlaye Sylla miaka michache tu iliyopita.
 
Simba ina mkurugenzi wa Ufundi ??? au Riasi wa heshima ndio mkurugenzi wa Ufundi
Kwa miaka 4 iliyopita Simba ilikuwa inafanya makosa makubwa kwenye usajili mkielezwa mlikuwa mnabisha
now angalieni msije mkaendelea kufanya makosa yaleyale
Mgunda ni nani? Au Mtamzania hawezi kuwa Mkurugenzi wa ufundi? Miaka minne nyuma nani alikuwa Mkurugenzi wa ufundi?
 
Huyo mpaka atie saini kwanza ndio itakuwa rasmi. Hata kamati ya usajili inajua hivyo. Hao wachezaji wa pande hizo wanakuwaga na ofa kibao nyuma ya pazia. Simba bado wana kumbu kumbu nzuri ya kilichowakuta kwa Morlaye Sylla miaka michache tu iliyopita.
Una uhakika hajasaini?
 
Kitendo cha kushindwa kumsajili morlaye syilla kiliniuma mno kuliko hata usajili wa aziz ki kwenda uto.
 
Ila hizi timu zetu pendwa bana kipindi cha usajili huwa nachekaga sana,watu wanakuja na majina yakutishatisha tu mara Enrinco kizumba(maradona mtupu),Jean Mokoena,philiph Kelechi Obinah(changanya Neymar wawili) vurugu tupu,ligi ianze sasa utaskia huyu tumepigwa.
Sawa usajili bahati nasibu wadau mpunguze mbwembwe.
 
Una uhakika hajasaini?
Sina hakika ndio maana nimesema mpaka atie saini au atangazwe kwanza. Wachezaji wa pande za huko ni mpaka asaini makaratasi na atangazwe kwanza tofauti na wachezaji wa pande zingine ukisikia tetesi tu unajua kuwa imeisha hiyo. Ila mkuu kama una taarifa za ndani kasha sinya basi sawa sikupingii ila kwangu mpaka atangazwe kwanza.
 
Ila hizi timu zetu pendwa bana kipindi cha usajili huwa nachekaga sana,watu wanakuja na majina yakutishatisha tu mara Enrinco kizumba(maradona mtupu),Jean Mokoena,philiph Kelechi Obinah(changanya Neymar wawili) vurugu tupu,ligi ianze sasa utaskia huyu tumepigwa.
Sawa usajili bahati nasibu wadau mpunguze mbwembwe.
Ni JF member lakini hujui maana ya USHABIKI. Mpira sio kikoa cha msiba
 
Wachezaji waliosajiliwa na Simba SC so far
1. Augustine Okejepha( namba 6)
2. Yusuphu Kagoma(namba 6)
3. Lameck Lawi ( beki wa kati)
4. Joshua Mutale (winga)
5. Elie Mpanzu (winga)
6. Steven Mukwala( striker)
7. Jean Charles Ahoua
Mkuu nakuaminia sana. Ngoja tu mdogo mdogo tutafka tu. Naona mukwala in da house tayari
 
Back
Top Bottom