Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba 10 sio?Jean Charles Ahoua, MVP wa Ivory Coast ni rasmi Sasa ni mnyama
NdiyoNamba 10 sio?
Kama Simba watafanikiwa kumpata huyu mtu basi wamepata kitu moja ya wachezaji ambao nimekuwa nikiwafatilia zaidi kwenye ligi ya AfricaKapatikana, anaitwa Jean Charles Ahoua , MVP wa ligi ya Ivory Coast
Kama Simba watafanikiwa kumpata huyu mtu basi wamepata kitu moja ya wachezaji ambao nimekuwa nikiwafatilia zaidi kwenye ligi ya AfriKapatikana, anaitwa Jean Charles Ahoua , MVP wa ligi ya Ivory Coast
Tayari broKama Simba watafanikiwa kumpata huyu mtu basi wamepata kitu moja ya wachezaji ambao nimekuwa nikiwafatilia zaidi kwenye ligi ya Africa
Safi.Kapatikana, anaitwa Jean Charles Ahoua , MVP wa ligi ya Ivory Coast
Bado manula na ahmed ally.Kuondoka kirusi nyie hamuoni raha? Bado Manula
Habari njema sana.Jean Charles Ahoua, MVP wa Ivory Coast ni rasmi Sasa ni mnyama
Ahmed kakosa niniBado manula na ahmed ally.
Nje ya Ushabiki kama wamempata basi wamempata mtu labda litokee la kutokeaTayari bro
Huyo trabita sjui kama nimepatia jina lake imekuaje mkuu
Huu msimu kama itakuwa hivyo, Simba watakuwa wameonyesha umakini sana.Kapatikana, anaitwa Jean Charles Ahoua , MVP wa ligi ya Ivory Coast
Au tumuulize anacheza namba ngapi?Ahmed kakosa nini
YeahNje ya Ushabiki kama wamempata basi wamempata mtu labda litokee la kutokea
YesHuu msimu kama itakuwa hivyo, Simba watakuwa wameonyesha umakini sana.
Hizi story hatujaanza kuziskia leo,nakumbuza interview ya Magori baada ya kuwasajili Sakho na Banda.I think Simba walipaswa kupata kocha kwanza ambaye atatoa aproval ya huo usajiliHuu msimu kama itakuwa hivyo, Simba watakuwa wameonyesha umakini sana.
Mpira wa kisiasa umetoka Kwa kusajili wachezaji wa kocha. Timu zinajenga falsafa zake na kuwa na wakurugenzi wa ufundi. Wachezaji wanasajiliwa kulingana na falsafa za timu.Hizi story hatujaanza kuziskia leo,nakumbuza interview ya Magori baada ya kuwasajili Sakho na Banda.I think Simba walipaswa kupata kocha kwanza ambaye atatoa aproval ya huo usajili