Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Mhhh! Ndugu yangu, nadhani kigogo wa serikali mwenye dhamana na hela zetu
Basi naona ana chuki kubwa sana na simba. Kwanini karibia kila mchezaji muhim simba anaemtaka wao wanakuja kuharibu? Ila usajili wao hauna maana zaidi ya kufanya kwa mihemko
Sasa sababu ya umbumbumbu wao tumekosamchezaji simba..au nipe updates za beki anajiita au jina lake linaanza na "TRA" ...
 
Huyu asipokuwa makini baada ya msimu mmoja atatemwa.

Upande wa Hussein ni mgumu kushindania namba maana jamaa haumii na anaweza cheza mechi zote za msimu kwa kiwango karibu kilekile.

Pia inasadikika kiasili hajambo ila sina uhakika.
Asante Kwasi alimpokonya namba msimu mzima 2017/2018 na msimu 2018/2019 waliugawana mpaka Kwasi alipopata injury ya goti
 
Kilichomkuta Asante Kwasi kila mtu anajua...

Ile Injury haikua ya kumstaafisha mpira...

Tuwaombe tu hawa vijana wetu, kapombe na Hussen wanapowaharibu wenzao basi wajitahidi kujituma...

Siku zote udhaifu wa Simba umekua kwa Hussen ila kila anapoletwa mtu bora anaharibiwa...

Inaumiza.
 
Basi wacheze wao hadi wawe vibabu wanaotembea na mkongojo
 
Kilichomkuta Asante Kwasi kila mtu anajua...

Ile Injury haikua ya kumstaafisha mpira...

Tuwaombe tu hawa vijana wetu, kapombe na Hussen wanapowaharibu wenzao basi wajitahidi kujituma...

Siku zote udhaifu wa Simba umekua kwa Hussen ila kila anapoletwa mtu bora anaharibiwa...

Inaumiza.
Injury ya goti ni ngumu sana kupona na mchezaji akarudi kwenye form.
Kapombe alipata injury ya goti pia hakucheza msimu mzima wa 2018/2019 je tumlaumu Nicolas Gyan kuwa alimroga Kapombe ?
 
Huyu asipokuwa makini baada ya msimu mmoja atatemwa.

Upande wa Hussein ni mgumu kushindania namba maana jamaa haumii na anaweza cheza mechi zote za msimu kwa kiwango karibu kilekile.

Pia inasadikika kiasili hajambo ila sina uhakika.
Hussein usiku halali
Waulize kina Ndemla Ajibu na wengine wa Magomeni

HAKESHI KUWANGA
ANAKESHA ANAFANYA MAZOEZ YA MPIRA
SIJUI KAMA KUNA MCHEZAJI WA NBC LEAGUE ANAYEMZIDI ZIMBWE KWA NIDHAM YA MCHEZO
BOCCO ASHASTAAFU
KAMA UCHAWI UNACHEZA MBONA KASEKE HANA TIMU
 
Basi naona ana chuki kubwa sana na simba. Kwanini karibia kila mchezaji muhim simba anaemtaka wao wanakuja kuharibu? Ila usajili wao hauna maana zaidi ya kufanya kwa mihemko
Sasa sababu ya umbumbumbu wao tumekosamchezaji simba..au nipe updates za beki anajiita au jina lake linaanza na "TRA" ...
Ni propaganda hizo bro! Hakuna beki Simba kanyanganywa na Singida. Simba ina target zake msimu huu na zote zilishatiki kitambo
 
Kilichomkuta Asante Kwasi kila mtu anajua...

Ile Injury haikua ya kumstaafisha mpira...

Tuwaombe tu hawa vijana wetu, kapombe na Hussen wanapowaharibu wenzao basi wajitahidi kujituma...

Siku zote udhaifu wa Simba umekua kwa Hussen ila kila anapoletwa mtu bora anaharibiwa...

Inaumiza.
Imani zako tuu
 
Huyu asipokuwa makini baada ya msimu mmoja atatemwa.

Upande wa Hussein ni mgumu kushindania namba maana jamaa haumii na anaweza cheza mechi zote za msimu kwa kiwango karibu kilekile.

Pia inasadikika kiasili hajambo ila sina uhakika.
Mkuu nimecheka sana.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom