Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Basi naona ana chuki kubwa sana na simba. Kwanini karibia kila mchezaji muhim simba anaemtaka wao wanakuja kuharibu? Ila usajili wao hauna maana zaidi ya kufanya kwa mihemkoMhhh! Ndugu yangu, nadhani kigogo wa serikali mwenye dhamana na hela zetu
Sasa sababu ya umbumbumbu wao tumekosamchezaji simba..au nipe updates za beki anajiita au jina lake linaanza na "TRA" ...