OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mukwala mmoja sawa na Machama watatu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunatunza recordMukwala mmoja sawa na Machama watatu
ameya kanyaga tena huku.Mukwala mmoja sawa na Machama watatu
cc Mfufua Nyuzi.Mukwala mmoja sawa na Machama watatu
Dah aise ni hatar sana. Sijajua kilichotokea kwa huyu mwamba.Aubin Kramo hatokuwa tena Simba kama niliporipoti hapo awali. Ujio wa Mutale, Ahoua na Mpanzu unamuondoa Simba SC. Nina majonzi
Misumari.Dah aise ni hatar sana. Sijajua kilichotokea kwa huyu mwamba.
Mambo mengiDah aise ni hatar sana. Sijajua kilichotokea kwa huyu mwamba.
Mpanzu bado ana mkataba na As vitaAubin Kramo hatokuwa tena Simba kama niliporipoti hapo awali. Ujio wa Mutale, Ahoua na Mpanzu unamuondoa Simba SC. Nina majonzi
Mwasibu na hii tunaitunza kwa matumizi ya baadae 😃😃Mukwala mmoja sawa na Machama watatu
fundi mmojaOnoya Sangana to Young Africans?
Una mjua? Ametokea wapi na anacheza namba ngapi?fundi mmoja
Namba ngapi huyu na anacheza wapi kwa sasaKaraboue to Simba SC?
katokea wap mkuu, namb ngap?Karaboue to Simba SC?
Ana Miaka 36Karaboue to Simba SC?
5Namba ngapi huyu na anacheza wapi kwa sasa
Siyo huyoAna Miaka 36