Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh..noma sana. Samatta anapiga hela balaa..Samatta huyoo Saudia
Mkuu, nafasi ya inonga anakuja nani? Nafasi ya chama anakuja nani? Kiungo mkabaji ni nani?Idumba Fasika to Simba?
KabisaDuh..noma sana. Samatta anapiga hela balaa..
Kiungo mkabaji ni Augustine Okejepha toka Rivers united ya Nigeria na Yusuph Kagoma kutoka Singida. Nafasi ya Inonga bado anatafutwa dili linakaribia kutiki, ya Chama badoMkuu, nafasi ya inonga anakuja nani? Nafasi ya chama anakuja nani? Kiungo mkabaji ni nani?
Haijatangazwa tarehe rasmi. Ni kama wiki ya pili ya mwezi wa naneLigi ya bara inaanza lini ?
Huyo trabita sjui kama nimepatia jina lake imekuaje mkuuKiungo mkabaji ni Augustine Okejepha toka Rivers united ya Nigeria na Yusuph Kagoma kutoka Singida. Nafasi ya Inonga bado anatafutwa dili linakaribia kutiki, ya Chama bado
Siyo target ya SimbaHuyo trabita sjui kama nimepatia jina lake imekuaje mkuu
Jamaa kaona confederation sio hadhi yake 🤣🤣🤣🤣Rasmi sasa Chama ni wananchi
Berkane alicheza mashindano yapi?Jamaa kaona confederation sio hadhi yake 🤣🤣🤣🤣
Nani anafit vyema kabisa hapo namba 10 ?Usajili huu wa Mpanzu unauweka mashakni uwepo wa Aubin Kramo labda mmojawapo kati ya Mpanzu, Kramo na Mutale acheze namba 10
Mbona kuna taarifa zinaonesha huyo Mnigeria amesaini Orlando Pirates baada ya kuweka dau kubwa mezani kuliko lile la simba!Wachezaji waliosajiliwa na Simba SC so far
1. Augustine Okejepha( namba 6)
2. Yusuphu Kagoma(namba 6)
3. Lameck Lawi ( beki wa kati)
4. Joshua Mutale (winga)
5. Elie Mpanzu (winga)
6. Steven Mukwala( striker)
Kapatikana, anaitwa Jean Charles Ahoua , MVP wa ligi ya Ivory CoastNani anafit vyema kabisa hapo namba 10 ?
Orlando wameshindwa, waliweka 200 wakati dili la Simba dili lake linaweza fikia 270. Dogo ni mnyamaMbona kuna taarifa zinaonesha huyo Mnigeria amesaini Orlando Pirates baada ya kuweka dau kubwa mezani kuliko lile la simba!