Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Azam FC confirmed the departures of four (4) players. ⛔️

• Lyanga
• Manyama
• Malickou
• Ndala
 
Clatous Chota Chama, anaweza kuondoka Simba SC kama mambo hayatabadilika. Tajiri kachafukwa
 
Chama to Yanga?
Huyu kweli ataweza kuendana na ile kasi Gamondi na kupokonya mipira? Haya ngoja tuone kama usajili ukikamilika nini ataweza ku offer kwa Yanga maana ni mchezaji wa anayependa ufadha na pia umri umeenda.
 
Gamondi ataingia kwenye mfumo wa Chama au aende u 20 kama alivyosema Kwa Okra
 
Yanga sio Simba, kama Chama hawezi kuendana na falsafa ya kocha basi benchi hatakalia na hakuna na wa kumpangia kocha sio mashabiki sio viongozi. Sio Simba akiwekwa benchi tu Chama basi maandamano kumshinikiza kocha aingie kwenye mfumo wa Chama. Okrah na Mkude ni mfano halisi, japo Mkude sio sawa na Okrah Mkude ni mali ile kwenye kiungo.
 
Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom