kipanta
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 925
- 1,086
Kuna nini mzee wa tetesi zenye ukweliDirisha hili....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna nini mzee wa tetesi zenye ukweliDirisha hili....
Sio mchezaji mbaya anawafaa zaidi namungo hana uwezo wa kuchezea Simba ya halal ila kama ni Simba hii ya kanjibai na jaribu tena atafaa sana!Sioni shida ya Fred mbali na mihemko ya watu wasiojua mpira
Mambo kibaoKuna nini mzee wa tetesi zenye ukweli
Viongoz walewale wa simba ndio wanataka kusajili hao wachezaji🤣, tunapigwa tenaViongozi wa Simba ni wapuuzi na waongo waongo au tuite matapeli.
Utasikia wanasajili wachezaji "wenye namba nyingi" Gambia,Mauritania,Ushelishi,Madagascar,Rwanda,Somalia na Malawi.
Ukiangalia nchi tu anayotoka mchezaji unachoka akili.
Nchi siyo shida, shida ni wachezaji ndo maana Kuna Wasomali na Wanyarwanda wanaocheza ligi kubwaViongozi wa Simba ni wapuuzi na waongo waongo au tuite matapeli.
Utasikia wanasajili wachezaji "wenye namba nyingi" Gambia,Mauritania,Ushelishi,Madagascar,Rwanda,Somalia na Malawi.
Ukiangalia nchi tu anayotoka mchezaji unachoka akili.
Tuwe na akiba ya Maneno.Viongozi wa Simba ni wapuuzi na waongo waongo au tuite matapeli.
Utasikia wanasajili wachezaji "wenye namba nyingi" Gambia,Mauritania,Ushelishi,Madagascar,Rwanda,Somalia na Malawi.
Ukiangalia nchi tu anayotoka mchezaji unachoka akili.
7_2Tuwe na akiba ya Maneno.
Hao hao Viongozi na Wachezaji unaobeza ndio Wanafanya Simba iwe Namba 6 kwa Ubora Afrika. Acha kufuata kelele za Wachambuzi wa Mchongo. Hiyo timu inayosemwa bora mbona imeishia Robo kama Simba. Jikubalini timu haina tatizo kubwa kama mnavyoaminishwa.
YANGA anaongoza Ligi kwa Mipango MICHAFU.
1. MECHI YA KAGERA, Yanga alifungwa Kagera akapokwa goli mwamuzi amefungiwa.
2. MECHI YA PRISON, Yanga alikuwa anaenda kupoteza. Ikatolewa RED CARD YA MCHONGO yanga akapata goli. Mwamuzi kapewa Onyo.
3. MECHI YA COASTAL UNION, Yanga alishapotea. Kitasa cha Kati LAMECK Lawi anapewa RED CARD YA KITUKO. Yanga anapata mseleleko. Red card imefutwa na mwamuzi ameonywa.
4. Ni mengi siwez ongea ujinga unaoendelea. Hali hii imeshusha hadhi/Ubora wa Ligi yetu Afrika sote tunajua.
Kwa uchache SIMBA siyo mbaya kihiiiiivo ndio maaana hata mechi ya Juzi ambayo Yanga ameshinda 2-1 unaweza kusema Arajiga 2 Simba 1.
So acheni umbwiga mjue. Simba is next level.
Fred ni mchezaji, sema wengi hawajui kuangalia uwezo wa mchezaji.Sioni shida ya Fred mbali na mihemko ya watu wasiojua mpira
Huyo jamaa hatari sanaMarouf Tchakei
Naona simba inarudia makosa yale yale kusajili strike ambae hata ligi ya nyumbani hayupo kwenye top 10 strikers. Just because ni bei cheSimba Sc inawania Saini ya striker Mzambia Rick Banda
Ni kweli but who cares ihefu na namungo na tabora united wanamsajili nani? Labda azamHizi sio Tetesi za usjaili Ligi Kuu?? bora ungesema Tetesi la Usajili Simba na Yanga.
We Taarfa Asilimia 99 zinahusu Simba na Yanga halaf unaita Tetesi za Ligi Kuu??
Najua kuna mtu ata nijibu vibaya ila hata wewe angalia kwa akili zako imagine unamsomea mtu kichwa cha habar then unaanza kusoma ndani anasikia Simba na Yanga aslimia 99% zipo hizo tu.
No Taarfa za Ihefu,
No Namungo
No Azam
No Tabora United
And Others halaf Jina la uzi Tetesi za Ligi kuu??
Ni tetesi. Ukicheki wachezaji wengi hapo ni mabeki na viungo wakabaji. Yaani simba wanafanya overhaul defence na viungoKwaiyo makolo wanataka kusajiri kikosi kizima.!
Uyo kiungo mkabaji anaewindwa na yanga hapo namba 6 ni nani.
Ngoja tuoneNaona simba inarudia makosa yale yale kusajili strike ambae hata ligi ya nyumbani hayupo kwenye top 10 strikers. Just because ni bei che
AnajuaHuyo jamaa hatari sana
Kabisa. Wakisikia fulani anasifu au anaponda nao wanafanya hivyo hivyoFred ni mchezaji, sema wengi hawajui kuangalia uwezo wa mchezaji.