K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Kwa sasa naona wachezaji wazawa wanakuja kula mafao na kufanya mazoezi basi.Aziz Ambangile Mwambalaswa
Ligi ikianza wengi hata kwenye mbao ndefu hawatapata nafasi hiyo ya kuikalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sasa naona wachezaji wazawa wanakuja kula mafao na kufanya mazoezi basi.Aziz Ambangile Mwambalaswa
Isingekuwa ni kanuni wachache wangesajiliwa. Ila trust me, huko mbeleni wachezaji wa kigeni watapunguzwa idadiKwa sasa naona wachezaji wazawa wanakuja kula mafao na kufanya mazoezi basi.
Ligi ikianza wengi hata kwenye mbao ndefu hawatapata nafasi hiyo ya kuikalia.
Bila shaka umemaanisha Aziz Andambwile kama ni mchezaji! Nje ya hapo tuna Mchambuzi sasa wa mpira wa miguu kwa jina la George Ambangile.Aziz Ambangile Mwambalaswa
Namba 2 na 38 ya kwanza kama sijaelewa1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia
4. Kiungo mchezeshaji raia wa Gambia, Foday Trawally anaweza kujiunga na Simba Sc kwa mkataba wa miaka 3
5. Beki wa kati wa Asec, Anthony Tra Bi Tra anahusishwa kujiunga na Simba Sc
6. Kiungo mkabaji wa Singida Black Stars anawindwa na Young Africans kuchukua nafasi ya Zawadi Mauya atakayetupiwa virago
7. Kiungo wa Raja AC, Abdelhay Forsy anatakiwa na Simba Sc kwa mkopo
8. Klabu ya Singida Black Stars imemsajili Mlinda lango wa Horoya AC ya Guinea, Mohamed Camara na inakaribia kumnasa beki wa kushoto Imoro Ibrahim
9. Young Africans SC inakaribia kuinasa Saini ya beki wa kushoto kutoka Asec, Frank Zouzou
10. Beki WA kati raia wa Mauritania, Lamin Ba anafatiliwa kwa karibu na Simba SC
11. Henock Inonga anakaribia kujiunga AS FAR ya Morocco kama mambo yatakwenda vizuri
12. Simba SC inaangalia uwezekano wa kumsajili beki wa RS Berkane, Issofou Dayo
13. Simba SC inamfukuzia kiungo mshambuliaji , Augustine Okejepha
14. Derick Fordojou ni mnyama
15. Rodgers Torach, anakaribia kujiunga na SC
16. Mohamed Damaro Camara anafatiliwa kwa ukaribu na Simba SC
17. Daniel Msengani anawaniwa na Simba SC
18. Victorien Adebayor amejiunga na Sungida Black Stars SC
19. Beno Kakolanya, anawindwa Young Africans kuziba nafasi ya Metacha Mnata
20. Striker wa mpira Jean Baleke, anatakiwa na Young Africans
21. Luis Jose Miquissone anatakiwa na APR ya Rwanda
22. Kiungo wa mpira kutoka Coastal union, Greyso Gelard anatakiwa na Young Africans
23. Young Africans wanawania Saini ya Duvan Elenga
24. Simba SC wanamuwinda Flory Yangao
25 Waziri wa raha , Skudu Makudubela bye bye Yanga
26. Simba Sc inamuwania Chance Leroy
27. Ayoub Lakred anahitajiwa na Wydad AC
28. Simba Sc inawania Saini ya striker Mzambia Rick Banda
29. Omar Nahji kuchukua mikoba ya Benchika Simba SC
30. Vilabu Vya Al Qadsia ya Kuwait na Pyramids FC ya Egypt zimeonesha nia ya kuhitaji Huduma ya Fabrice Ngoma wa Simba Sc
31. Golikipa Yona Amos anakaribia kujiunga Young Africans
32. Joshua Mutale anatakiwa kujiunga Simba SC
33. Kelvin Kapumbu anatakiwa Simba SC
34. Gnagna Barry na Mousa Camara wa Horoya AC wanawindwa na Simba Sc
35.Ousmane Drame wa Horoya AC anawindwa na Simba Sc
36. Saidio Kanout, Putin ataondoka Simba Sc
37. Mabululu anatakiwa Simba SC
38. Lameck Lawi anatakiwa Simba SC
38. Frolent Ibenge anaweza kujiunga SC
39. Chadrack Boka ni mwananchi
40. Basiala Agee anahitajiwa na Yanga
41. Aziz Ambangile anahitajika Simba SC kuchukua nafasi ya Abdallah Hamis
Walimtaka WA kwanza wakaja wa mwisho wakambebaNamba 2 na 38 ya kwanza kama sijaelewa
Kwa Nini mkuu?Huyo Kakolanya asikanyage tena Yanga
YeahRasmi
Waite mbumbumbu ndo wanafurahia jina alilowaita Mwenyekiti RageNguruwe FC wapo kwenye maongezi ya kumuongezea mkataba Mzee Saido!
Nguruwe Fc ni timu ya wapi?Nguruwe FC wapo kwenye maongezi ya kumuongezea mkataba Mzee Saido!
Anatania tuTumewasajili Aziz Ki na Fei Toto - Ahmed Ally
5imba ni timu tishio barani Africa wanaosema ni mbovu wana wivuTuwe na akiba ya Maneno.
Hao hao Viongozi na Wachezaji unaobeza ndio Wanafanya Simba iwe Namba 6 kwa Ubora Afrika. Acha kufuata kelele za Wachambuzi wa Mchongo. Hiyo timu inayosemwa bora mbona imeishia Robo kama Simba. Jikubalini timu haina tatizo kubwa kama mnavyoaminishwa.
YANGA anaongoza Ligi kwa Mipango MICHAFU.
1. MECHI YA KAGERA, Yanga alifungwa Kagera akapokwa goli mwamuzi amefungiwa.
2. MECHI YA PRISON, Yanga alikuwa anaenda kupoteza. Ikatolewa RED CARD YA MCHONGO yanga akapata goli. Mwamuzi kapewa Onyo.
3. MECHI YA COASTAL UNION, Yanga alishapotea. Kitasa cha Kati LAMECK Lawi anapewa RED CARD YA KITUKO. Yanga anapata mseleleko. Red card imefutwa na mwamuzi ameonywa.
4. Ni mengi siwez ongea ujinga unaoendelea. Hali hii imeshusha hadhi/Ubora wa Ligi yetu Afrika sote tunajua.
Kwa uchache SIMBA siyo mbaya kihiiiiivo ndio maaana hata mechi ya Juzi ambayo Yanga ameshinda 2-1 unaweza kusema Arajiga 2 Simba 1.
So acheni umbwiga mjue. Simba is next level.
Tuwe na akiba ya Maneno.

Huyu mwamba akija Yanga nitafurahi sana. Maana ni mwepesi, ana mbio, anapiga chenga na anatoa pasi za magoli.Deal la Phillip kizumbi limekaaje nasikia anataka kupishana na Musonda?
Nadhani deal itakua njiani kukamilika nimeona hata yeye kaposti video fupi akiwa na jezi ya Yanga ya msimu uliopita..Huyu mwamba akija Yanga nitafurahi sana. Maana ni mwepesi, ana mbio, anapiga chenga na anatoa pasi za magoli.
Musonda wa mechi za kitamataifa na musonda wa Ligi ya bongo ni wachezaji wawili tofauti kabisa.Deal la Phillip kizumbi limekaaje nasikia anataka kupishana na Musonda?