- Thread starter
- #81
50/50Deal la Phillip kizumbi limekaaje nasikia anataka kupishana na Musonda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
50/50Deal la Phillip kizumbi limekaaje nasikia anataka kupishana na Musonda?
Musonda ni complete player nashangaa wanaomlinganisha na mzize. Akiwa pembeni ni winga akiingia ndani anakuwa striker na target yake ni kubwa mno. Mchezaji mkubwa huonekana big matchesHuyu mwamba akija Yanga nitafurahi sana. Maana ni mwepesi, ana mbio, anapiga chenga na anatoa pasi za magoli.
Nadhani mkanganyiko WA issue za udhamini na umiliki wa Vilabu ndo shida kubwa kwenye soka nchini. Utasikia mlezi wa Dodoma Jiji ni mjumbe wa kamati ya wadhamini wa Yanga mara mmiliki wa Singida mara Ihefu ni mjumbe wa kamati ya utendaji wa Yanga. Kimsingi GSM ni mwekezaji Yanga hivyo hakupaswa kuwa mdhamini wa Coastal, Namungo, Prisons, Ihefu, Singida etc. Angalia matokeo ya Yanga na hizo timu kabla ya udhamini na baada ya udhamini. Si kwenye mpira tu mtu mmoja kumiliki viwanda viwili vitatu vya vya sukari au mitandao miwili ya simu mara benki moja kuimiliki nyingine kumetuletea changamoto kama Taifa. Vinaondoa ushindani na kuleta monopoly ya mmiliki kufanya anachotaka.Hoja yako ya timu kunufaika na maamuzi sio haipo kwa Yanga peke yake hata Simba imekuwa ni mnufaika wa maamuzi ya marefarii. Kwa msimu huu Simba na Yanga ni timu ipi ilipata magoli mengi ya penati? Magoli yote ya Saidoo msimu huu yametokana na penati.
Mechi ya Yanga dhidi ya Kagera ni kweli Yanga amepata point 1 kimamosa lakini sitaki kukubaliana nawewe kuwa Yanga walinunua hiyo mechi kwa kuwaonga waamuzi bali Yanga alipata point 1 kutokana na kutokuwa makini waamuzi. Yanga iweze kuimudu Al Ahly, Belouizdad, Medeama na Mamelodi bila mchezo mchafu ina haja gani ya kufanya mchezo mchafu kwa timu ya kawaida kama Kagera?
Mechi ya Yanga vs Prison, mchezaji wa Yanga ndiye aliyetangulia kupata red card, kama ingekuwa kuna mchongo hata kadi nyekundu kwa mchezaji wa Yanga isingetolewa.
Jambo lingine ni kwamba sio timu kuwa pungufu ndio guarantee ya kushinda mechi, timu inaweza kuwa pungufu na kama hauna kikosi chenye ubora unaweza kupata sare au kupoteza pia. Simba imecheza na Mashujaa iliyokuwa pungufu tangu first half je iliweza kushinda? Simba ilicheza na Prisons na kufungwa goli 2 huku mchezaji wa Prisons akitolewa kwa kadi nyekundu.
Yanga wameonewa mechi mbili mfululizo dhidi ya Kagera mechi ya marudiano, kwa kuambiwa offside kila goli huku mechi dhidi ya Mtibwa ikawa na offside ya kituko. Lakini ubora wa Yanga ukaifanya wa score hata kama waamuzi wanalazimisha matokeo yasiwe upande wa Yanga. Lakini upande Simba imegeuka kuwa na udhuru na magoli ya offside, dhidi ya Dodoma jiji Freddy alikuwa yupo eneo la kuotea.
Hakuna timu isiyonufaika na maamuzi ya waamuzi ndio maana huko ulaya wameamua kuweka VAR ilimradi kupunguza makosa ya waamuzi viwanjani
Nadhani mkanganyiko WA issue za udhamini na umiliki wa Vilabu ndo shida kubwa kwenye soka nchini. Utasikia mlezi wa Dodoma Jiji ni mjumbe wa kamati ya wadhamini wa Yanga mara mmiliki wa Singida mara Ihefu ni mjumbe wa kamati ya utendaji wa Yanga. Kimsingi GSM ni mwekezaji Yanga hivyo hakupaswa kuwa mdhamini wa Coastal, Namungo, Prisons, Ihefu, Singida etc. Angalia matokeo ya Yanga na hizo timu kabla ya udhamini na baada ya udhamini. Si kwenye mpira tu mtu mmoja kumiliki viwanda viwili vitatu vya vya sukari au mitandao miwili ya simu mara benki moja kuimiliki nyingine kumetuletea changamoto kama Taifa. Vinaondoa ushindani na kuleta monopoly ya mmiliki kufanya anachotaka.
HaweziKibu aje Yanga itakuwa safi sana pale mbele
Tutaona!Hawezi
Tunaongelea fact siyo hisia bro. Kanuni za FFP na FIFA zinaruhusu kinachofanyika? Kwa nini udhamini wa GSM kwa ligi kuu ulikoma ghafla baada ya Barbara kusimamia kucha? Ushindani upi unaoongelea ? Angalia mechi za Yanga vs Coastal , Prisons na Namungo kabla na baada ya udhamini afu niletee matokeoHilo mnaloongea ni hisia na wala sio fact kwanini nasema hivyo?
Angalia timu ya Simba kwasasa imefungwa na Yanga nje ndani tena kwa idadi kubwa ya magoli je Simba ina udhamini wa GSM?
Kwanini tusiwaze kuwa timu zilizo dhaminiwa na GSM ndizo zimeonesha upinzani mkubwa kwa Yanga kuliko timu zingine ambazo hazidhaminiwi na GSM?
Tukiweka list za timu zilizofungwa magoli matano matano msimu huu je ngapi zilizo dhaminiwa na GSM zaidi ya Ihefu kwenye mechi ya marudiano ya ligi kuu?
Umeangalia mechi ya nusu fainali leo ya kombe la FA kati ya Ihefu na Yanga umeona mechi ilivyokuwa tough?
Nyie mnaongea hisia tu, ila ukweli ni kwamba hizo timu zilizo dhaminiwa na GSM na ambazo zinaonekana zina viongozi wenye ukaribu na Yanga ndizo ndio timu pekee zilizoipa Yanga upinzani. Prisons, Coastal, Ihefu, Dodoma jiji, Namungo, haikuwapa Yanga mechi nyepesi hata kidogo. Ila nje ya timu zisizo dhaminiwa na GSM tumeona Yanga akipata ushindi mkubwa na kushindwa kuipa Yanga upinzani
Wengine tushaona na ndo tumekujuzaTutaona!
Propaganda bro! Never trust thatKuna tetesi Simba wametia nia kwa Aziz Ki
Tunaongelea fact siyo hisia bro. Kanuni za FFP na FIFA zinaruhusu kinachofanyika? Kwa nini udhamini wa GSM kwa ligi kuu ulikoma ghafla baada ya Barbara kusimamia kucha? Ushindani upi unaoongelea ? Angalia mechi za Yanga vs Coastal , Prisons na Namungo kabla na baada ya udhamini afu niletee matokeo
Tuendelee kwa upande wa Tanzania Prisons,Tunaongelea fact siyo hisia bro. Kanuni za FFP na FIFA zinaruhusu kinachofanyika? Kwa nini udhamini wa GSM kwa ligi kuu ulikoma ghafla baada ya Barbara kusimamia kucha? Ushindani upi unaoongelea ? Angalia mechi za Yanga vs Coastal , Prisons na Namungo kabla na baada ya udhamini afu niletee matokeo
Ushindani upi unaoongelea ? Angalia mechi za Yanga vs Coastal , Prisons na Namungo kabla na baada ya udhamini afu niletee matokeo
Na hii bila shaka ni baada ya Mwasibu OkwiBobanSunzu kuzipiga upya zile hesabu zake Kihasibu.Kuna tetesi Simba wametia nia kwa Aziz Ki
Nadhani hoja kuu ni kanuni. Kama kanuni ni ya muhimu ugumu uko wapi kuifuata? Si TFF tu hata UEFA na FIFA kitu kinachofanyika Tanzania hakikubaliki. Naona msimu ujao itazuka tafrani kwa mtu mwingine kujitokeza kudhamini vilabu vingine jambo litakaloziibua mamlaka husikaTumalizie na matokeo ya timu ya Coastal union ambayo yenyewe tokea mwaka 2013 hadi sasa imeifunga Yanga mara mbili pekee.
Mwisho namalizia kwa kurudia nilichokisema juu kwamba kikanuni GSM anaweza kuwa anakosea kudhamini timu nyingi za ligi kuu, lakini kudhamini kwake hizo timu sio ndio kigezo cha Yanga kupata matokeo. Jana watu walishuhudia nusu fainali bora sana la kombe la FA kati ya Ihefu dhidi ya Yanga japo ina dhaminiwa na kampuni moja lakini Ihefu walikusudia kuiondoa Yanga mashindanoni, kwanini hilo tukio isiwaamshe kuhusu hali ya ushindani kwa hizo timu dhidi ya Yanga? Sijui hizo timu ndio zingekuwa zinapigwa goli tano tano na Yanga maneno yangezidi hapa.
Haya tuhitimishe kwa matokeo ya Coastal union ambayo imefanikiwa kumfunga mara mbili pekee tangu mwaka 2013
Source: sofascore & playmakerstatsView attachment 2994779View attachment 2994782
😀😀😀😀 acha utani weweKibu aje Yanga itakuwa safi sana pale mbele
Vipi kuhusu Prince Mpomelea Dube?1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia
4. Kiungo mchezeshaji raia wa Gambia, Foday Trawally anaweza kujiunga na Simba Sc kwa mkataba wa miaka 3
5. Beki wa kati wa Asec, Anthony Tra Bi Tra anahusishwa kujiunga na Simba Sc
6. Kiungo mkabaji wa Singida Black Stars anawindwa na Young Africans kuchukua nafasi ya Zawadi Mauya atakayetupiwa virago
7. Kiungo wa Raja AC, Abdelhay Forsy anatakiwa na Simba Sc kwa mkopo
8. Klabu ya Singida Black Stars imemsajili Mlinda lango wa Horoya AC ya Guinea, Mohamed Camara na inakaribia kumnasa beki wa kushoto Imoro Ibrahim
9. Young Africans SC inakaribia kuinasa Saini ya beki wa kushoto kutoka Asec, Frank Zouzou
10. Beki WA kati raia wa Mauritania, Lamin Ba anafatiliwa kwa karibu na Simba SC
11. Henock Inonga anakaribia kujiunga AS FAR ya Morocco kama mambo yatakwenda vizuri
12. Simba SC inaangalia uwezekano wa kumsajili beki wa RS Berkane, Issofou Dayo
13. Simba SC inamfukuzia kiungo mshambuliaji , Augustine Okejepha
14. Derick Fordojou ni mnyama
15. Rodgers Torach, anakaribia kujiunga na SC
16. Mohamed Damaro Camara anafatiliwa kwa ukaribu na Simba SC
17. Daniel Msengani anawaniwa na Simba SC
18. Victorien Adebayor amejiunga na Sungida Black Stars SC
19. Beno Kakolanya, anawindwa Young Africans kuziba nafasi ya Metacha Mnata
20. Striker wa mpira Jean Baleke, anatakiwa na Young Africans
21. Luis Jose Miquissone anatakiwa na APR ya Rwanda
22. Kiungo wa mpira kutoka Coastal union, Greyso Gelard anatakiwa na Young Africans
23. Young Africans wanawania Saini ya Duvan Elenga
24. Simba SC wanamuwinda Flory Yangao
25 Waziri wa raha , Skudu Makudubela bye bye Yanga
26. Simba Sc inamuwania Chance Leroy
27. Ayoub Lakred anahitajiwa na Wydad AC
28. Simba Sc inawania Saini ya striker Mzambia Rick Banda
29. Omar Nahji kuchukua mikoba ya Benchika Simba SC
30. Vilabu Vya Al Qadsia ya Kuwait na Pyramids FC ya Egypt zimeonesha nia ya kuhitaji Huduma ya Fabrice Ngoma wa Simba Sc
31. Golikipa Yona Amos anakaribia kujiunga Young Africans
32. Joshua Mutale anatakiwa kujiunga Simba SC
33. Kelvin Kapumbu anatakiwa Simba SC
34. Gnagna Barry na Mousa Camara wa Horoya AC wanawindwa na Simba Sc
35.Ousmane Drame wa Horoya AC anawindwa na Simba Sc
36. Saidio Kanout, Putin ataondoka Simba Sc
37. Mabululu anatakiwa Simba SC
38. Lameck Lawi anatakiwa Simba SC
38. Frolent Ibenge anaweza kujiunga SC
39. Chadrack Boka ni mwananchi
40. Basiala Agee anahitajiwa na Yanga
41. Aziz Andambwile anahitajika Simba SC kuchukua nafasi ya Abdallah Hamis
Aende Chamazi Jangwani hatutaki wazee.1.Beki kisiki wa Simba Che Malon Fondo anatarajiwa kuondoka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu na kujiunga na mojawapo ya klabu katika nchi moja ya kaskazini mwa Afrika
2.Kiungo mshambuliaji wa Simba Clatus Chota Chama ambaye mkataba wake unamalizika mwishoni mwa simu huu hajaanza mazungumzo ya kusaini mkataba mpya na inasemekana huenda akajiunga na mojawapo wa klabu za Dar es salaam,Chamazi au Jangwani.
Onyango sikushauri,maana Onyango keshakwisha.Ningekua kiongozi pale simba dirisha dogo ningewachukua
Elvis rupia, marouf tchakei, jackson kagoma, bruno gomez, yanick bangala na nikamrudisha babu onyango halafu ningewatoa
Aubin kramo, luis miquisonne, essomba onana, sadio kanoute na saidoo ntibanzokiza
Trust me CAF tusingepigwa nje ndani, FA tusingetolewa na ubingwa tungeendelea kuufukuzia