Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaTetesi zote nitaziamini ila za Simba kama zitakuwa za kwenda kuvunja mkataba wa mchezaji kwenye timu yake,,, hizo sitoziamini kabisa lamda mchezaji huru hapo nitaamini
Kafanyaje?Lawi
Wahuni wamembebaKafanyaje?
naona wengi wanawindwa na simba mwisho wa siku anaweza ambulia kula majani tu1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia
4. Kiungo mchezeshaji raia wa Gambia, Foday Trawally anaweza kujiunga na Simba Sc kwa mkataba wa miaka 3
5. Beki wa kati wa Asec, Anthony Tra Bi Tra anahusishwa kujiunga na Simba Sc
6. Kiungo mkabaji wa Singida Black Stars anawindwa na Young Africans kuchukua nafasi ya Zawadi Mauya atakayetupiwa virago
7. Kiungo wa Raja AC, Abdelhay Forsy anatakiwa na Simba Sc kwa mkopo
8. Klabu ya Singida Black Stars imemsajili Mlinda lango wa Horoya AC ya Guinea, Mohamed Camara na inakaribia kumnasa beki wa kushoto Imoro Ibrahim
9. Young Africans SC inakaribia kuinasa Saini ya beki wa kushoto kutoka Asec, Frank Zouzou
10. Beki WA kati raia wa Mauritania, Lamin Ba anafatiliwa kwa karibu na Simba SC
11. Henock Inonga anakaribia kujiunga AS FAR ya Morocco kama mambo yatakwenda vizuri
12. Simba SC inaangalia uwezekano wa kumsajili beki wa RS Berkane, Issofou Dayo
13. Simba SC inamfukuzia kiungo mshambuliaji , Augustine Okejepha
14. Derick Fordojou ni mnyama
15. Rodgers Torach, anakaribia kujiunga na SC
16. Mohamed Damaro Camara anafatiliwa kwa ukaribu na Simba SC
17. Daniel Msengani anawaniwa na Simba SC
18. Victorien Adebayor amejiunga na Sungida Black Stars SC
19. Beno Kakolanya, anawindwa Young Africans kuziba nafasi ya Metacha Mnata
20. Striker wa mpira Jean Baleke, anatakiwa na Young Africans
21. Luis Jose Miquissone anatakiwa na APR ya Rwanda
22. Kiungo wa mpira kutoka Coastal union, Greyso Gelard anatakiwa na Young Africans
23. Young Africans wanawania Saini ya Duvan Elenga
24. Simba SC wanamuwinda Flory Yangao
25 Waziri wa raha , Skudu Makudubela bye bye Yanga
26. Simba Sc inamuwania Chance Leroy
27. Ayoub Lakred anahitajiwa na Wydad AC
28. Simba Sc inawania Saini ya striker Mzambia Rick Banda
29. Omar Nahji kuchukua mikoba ya Benchika Simba SC
30. Vilabu Vya Al Qadsia ya Kuwait na Pyramids FC ya Egypt zimeonesha nia ya kuhitaji Huduma ya Fabrice Ngoma wa Simba Sc
31. Golikipa Yona Amos anakaribia kujiunga Young Africans
32. Joshua Mutale anatakiwa kujiunga Simba SC
33. Kelvin Kapumbu anatakiwa Simba SC
34. Gnagna Barry na Mousa Camara wa Horoya AC wanawindwa na Simba Sc
35.Ousmane Drame wa Horoya AC anawindwa na Simba Sc
36. Saidio Kanout, Putin ataondoka Simba Sc
37. Mabululu anatakiwa Simba SC
38. Lameck Lawi anatakiwa Simba SC
38. Frolent Ibenge anaweza kujiunga SC
naona lina grili tu halina aluminiumDirisha hili....
Simba au Yanga?Wahuni wamembeba
Huyo WA kwanza hapanaChama, Dube na Yusuf Kagoma
Tayari ni wananchi
Ukibisha ni jeuri yako tu
Huyu nin mchezaji kutoka nchi gani?na anacheza namba gani?Chadrack Boka ni mwananchi
Nasikia Kibu ameshaongeza mkataba wake hapo msimbazi, vipi ni habari za kweli?Chadrack Boka ni mwananchi
Anatoka DRC, ni beki nambari tatuHuyu nin mchezaji kutoka nchi gani?na anacheza namba gani?
Kweli kabisaNasikia Kibu ameshaongeza mkataba wake hapo msimbazi, vipi ni habari za kweli?