Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Mpanzu ameshatoka dubai kuonana na tajiri yupo dar ni swala la mda tu atatambulishwa
Saivi ni mwendo wa dubei tu. ..kama mutu iko leta shida, yeye iko kuja dubei mara moja elewana na tajiri iko patia yeye pesa baaas che!
 
Fred anahitajika kufundishwa kitu flan hivi sasa makocha wanatofautiana unajua katika kumuelekeza mchezaji kitaalam kwenye eneo alilopo kimajukumu,,jobe ndio aondoke ili kusevu pesa ya mshahara wanaweza fanyia jambo lingine la maaana kabisa.
 
Reactions: BRN
Mwigulu na wakinga wanahela
Ngoja wenye pesa mwaka huu wapigane vikumbo huko hewani, nyasi ndizo zitaumia,. Ule ujinga wa kusema unachukua ubingwa sjui zimebaki mechi 4 au 5, hautakuepo. Ubingwa naona unaenda kuamuliwa mechi ya mwisho kabisa.
 
Ni kweli usemacho ila Simba itaanza kufunga kutokea Kila upande, winga ya kuliwa, kushoto na nyuma ya mshambuliaji. Fred ataachwa Kwa sababu amekuja katikati ya msimu hivyo hakupata camp ya kujiandaa na wenzie, pili ni mfungaji Bora wa Zambia, tatu hatakaa mbali na goli kama zamani kutafuta mipira maana walishaji watakuwepo Kwa Kila angle. Trust me, akipata nafasi ya kucheza goli 10 kwake ni kitu kidogo sana
 
Ha ha haa
 
Ligi ikianza zile kelele za Mangungu tuachie timu yetu hazihitajiki humu.
Kwasasa munajikubali utadhani munatimu iliyo na muunganiko, kumbe ndio kwanza muunaanza kujikusanya!
Bahati nzuri maduka yenu yote tumeyafyeka kwenye timu yetu. Mwaka huu hamna chenu .

Ni mwaka ambao kila tundu lililopo kwenye mwili wa Amfibia litakuwa likitoa milio ya fwiii! na pwiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…