Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Tafuta hela acha UCHAWI.Saizi umesikia huyo Ahau sijui Ahoua sifa zake [emoji28][emoji28][emoji28] ila bongo nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta hela acha UCHAWI.Saizi umesikia huyo Ahau sijui Ahoua sifa zake [emoji28][emoji28][emoji28] ila bongo nyie
Saivi ni mwendo wa dubei tu. ..kama mutu iko leta shida, yeye iko kuja dubei mara moja elewana na tajiri iko patia yeye pesa baaas che!Mpanzu ameshatoka dubai kuonana na tajiri yupo dar ni swala la mda tu atatambulishwa
Fred anahitajika kufundishwa kitu flan hivi sasa makocha wanatofautiana unajua katika kumuelekeza mchezaji kitaalam kwenye eneo alilopo kimajukumu,,jobe ndio aondoke ili kusevu pesa ya mshahara wanaweza fanyia jambo lingine la maaana kabisa.Ok mkuu hii ndio ipo sawa sasa. Naona safari hii Simba wamekuwa "serious" kiasi fulani ukilinganisha na miaka miwili/mitatu iliyopita ambapo Simba ilikuwa inajua tu kupointi vipaji ila ikifika kusajili wanaenda timu nyingine.
Lakini kamati ya usajili itaharibu kwa kitu kimoja tu nacho ni kuwa nimemsikia Ahmed Ally anapayuka kuwa Fred Funga Funga ndio msaidizi wa Mukwala. Kufeli ndio kutaanzia hapo kwani Mukwala akipata majeraha au kadi timu itakuwa inapoteza ushindi. Kumbuka kwenye mashindano makubwa nafasi za kufunga huwa chache sana sasa kwa Fred Funga funga anayefunga goli moja kwa kila nafasi zaidi ya nne itakuwa majanga.
Kama Simba wamemuacha Luis, Kramo basi wamalizie kabisa na Fred kwani pale mbele panahitajika watu wanaoweza kutumia nafasi kwa ufasaha. Kama hawajapata somo kwenye ligi iliyoisha kuwa magoli mengi ni muhimu basi hawatakaa waelewe ninachokizungumza hapa kuhusiana na kuwa wafungaji wakali angalau wawili wanaojua kufunga bila wasiwasi.
Ngoja wenye pesa mwaka huu wapigane vikumbo huko hewani, nyasi ndizo zitaumia,. Ule ujinga wa kusema unachukua ubingwa sjui zimebaki mechi 4 au 5, hautakuepo. Ubingwa naona unaenda kuamuliwa mechi ya mwisho kabisa.Mwigulu na wakinga wanahela
Unaskia kiongozi: usiquote Comment zangu kwa makasirikoTafuta hela acha UCHAWI.
Ukitaka hivyo nenda PM au unda JF yakoUnaskia kiongozi: usiquote Comment zangu kwa makasiriko
Ukiziona zipite tu kuliko kuniandikia vitu vya ajabu
Siyo Kila siku ni JumapiliKipindi hiki tunapata Raha kuliko yanga lakini ligi ikianza mambo yanabadilika..
Nani bro?Kuna mtu mmoja Simba ikimsainisha ...maua yako nitakupa
Japo mtiririko wako uko sahii
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kwani Singida Big Stars hawatafanyia kambi yao Avic Town?Mwigulu na wakinga wanahela
Ni kweli usemacho ila Simba itaanza kufunga kutokea Kila upande, winga ya kuliwa, kushoto na nyuma ya mshambuliaji. Fred ataachwa Kwa sababu amekuja katikati ya msimu hivyo hakupata camp ya kujiandaa na wenzie, pili ni mfungaji Bora wa Zambia, tatu hatakaa mbali na goli kama zamani kutafuta mipira maana walishaji watakuwepo Kwa Kila angle. Trust me, akipata nafasi ya kucheza goli 10 kwake ni kitu kidogo sanaOk mkuu hii ndio ipo sawa sasa. Naona safari hii Simba wamekuwa "serious" kiasi fulani ukilinganisha na miaka miwili/mitatu iliyopita ambapo Simba ilikuwa inajua tu kupointi vipaji ila ikifika kusajili wanaenda timu nyingine.
Lakini kamati ya usajili itaharibu kwa kitu kimoja tu nacho ni kuwa nimemsikia Ahmed Ally anapayuka kuwa Fred Funga Funga ndio msaidizi wa Mukwala. Kufeli ndio kutaanzia hapo kwani Mukwala akipata majeraha au kadi timu itakuwa inapoteza ushindi. Kumbuka kwenye mashindano makubwa nafasi za kufunga huwa chache sana sasa kwa Fred Funga funga anayefunga goli moja kwa kila nafasi zaidi ya nne itakuwa majanga.
Kama Simba wamemuacha Luis, Kramo basi wamalizie kabisa na Fred kwani pale mbele panahitajika watu wanaoweza kutumia nafasi kwa ufasaha. Kama hawajapata somo kwenye ligi iliyoisha kuwa magoli mengi ni muhimu basi hawatakaa waelewe ninachokizungumza hapa kuhusiana na kuwa wafungaji wakali angalau wawili wanaojua kufunga bila wasiwasi.
Jengeni timu ya mpira sio propagandaNae ni miongoni mwa maduka yenu . Bahati nzuri tumeshamfahamu . Sasa hivi tuko nae jicho kwa jicho , hatua kwa hatua . Akijichanganya kutaka kutuhujumu bakora zinamhusu .
Mpanzu ...Nan huyo
Bro nipo lubumbashi.,kuna mzigo nimekuja kuushusha hapa nilipo c mbali sana na timu ya tp mazembe ....Nani bro?
SawaMpanzu ...
Huyu ndo namsubili
Ha ha haaBro nipo lubumbashi.,kuna mzigo nimekuja kuushusha hapa nilipo c mbali sana na timu ya tp mazembe ....
C nikajikuta naenda maeneo yale huku nikisubili wamalize kushusha.....
Nika muulizia mpanzu,,,allooooooh !
Kama tukimpata uko mji darslam watu hawatoleta timu uwanjani siku ya ngao
Siundi ila nna haki ya kutotaka mtu a quote comment yangu...Ukitaka hivyo nenda PM au unda JF yako
Nani kakupa hiyo haki kwenye Jukwaa la Wazi? Humu sio uvunguniSiundi ila nna haki ya kutotaka mtu a quote comment yangu...
Mtu anakuja na makasiriko kuniathiri sijapenda.... i have spoken!
Sisi tunatamba tukiwa na kombe mkononi, nyinyi munatamba wakati kama huu wa usajili.Kwaio.mlitaka mtambe nyie tu..uchawi wa kibinafsi huo.
Bahati nzuri maduka yenu yote tumeyafyeka kwenye timu yetu. Mwaka huu hamna chenu .
Ni mwaka ambao kila tundu lililopo kwenye mwili wa Amfibia litakuwa likitoa milio ya fwiii! na pwiii!