Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Dili limeingiliwa na Waturuki wa Vita, lolote linawezekana
Mimi kama shabiki wa Yanga natamani kuona huyu jamaa asivae jezi ya Simba msimu ujao, hii taarifa imenikosha sana.
 
Mimi kama shabiki wa Yanga natamani kuona huyu jamaa asivae jezi ya Simba msimu ujao, hii taarifa imenikosha sana.
Me naona kuna watu wanaomba hili dili lifeli ....uyu mtu akijaaaaaah..
@paco anthony ndugu kwenye kila penye kutakiwa mafanikio lazima lazima kuwe na WACHAWI....hapa ni Mungu tu afanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom