Kweli wewe ni Mzee wa hovyo kabisa!Vipi, Debora humsubiri?
Acha UCHAWI tafuta HELA uondoe uchawi na.umaskini kwenye familia yako.Vipi, Debora humsubiri?
Mtu anajiita hivyo ,unategemea maisha yake yatakuaje? Maisha ya kichawi na kimaskini, hata anayoyaongea hayana maana , ni maneno ya kichawi na kimaskini, yan hadi mtu anaamua kujiita hivyo ni kwamba amekata tamaa ya maisha kabisa anataka kufa tu, kama una akili timamu huwezi kujiita hivyo anavyojiita, na zaidi haifai kurushiana maneno na mtu wa sampuli hio,atakuambukiza umaskini, uchawi na kukata tamaa kwake.Kweli wewe ni Mzee wa hovyo kabisa!
Na saa sita Yanga wanatambulishaSaa tano hii tena Simba wanatambulisha mchezaji..eehh sijui nani?
Nasikia Yanga a.k.a TASAF FC wanamtambulisha MPOKI MWAKINYUKE.Na saa sita Yanga wanatambulisha
Maana yake Kibabage anaondoka?Nasikia Yanga a.k.a TASAF FC wanamtambulisha MPOKI MWAKINYUKE.
Na saa sita Yanga wanatambulisha
TumeonaMpo kimy wakuu usajili wa saa6 hamjauona
Tumeona
Nan huyo amesinya?Kuna mwingine saa 10
Hajajulikana..labda MpanzuNan huyo amesinya?
Nyuma mwiko
Ayoub kaongeza mkatabaNan huyo amesinya?
Azizi Ki anaondoka?Chama ni mrithi wa Azizi Ki