Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Bado hapa Kuna vichekesho. Mchezaji hadi sasa yuko Ulaya ya Tanga. Wenye naye wanasema wanamtafutia Passport aende Gent ya Ubelgiji. Ofa ya Gent ni dollar laki moja na kipengele Cha asilimia kadhaa wakimuuza. Ngoja tuone kama ataripoti mazoezini Kwa Coastal Union. Hata Jangwani panaweza kuwa ndo Ulaya
Acha uoga, Yanga hatuna interest nae.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pale tajiri anapochafukwa! Kuuh kung kuuuh kaaah kung kung..tajir kapiga kikumbo , ngoja tuone tajiri mwenza naye atajibuje ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wapi wamesema?
Screenshot_20240709-170512.jpg
 
Next is Simba Somba
Ila mkuu nimecheka kitu kimoja, hii nchi unaweza kuwaendesha watu asilimia kubwa kwa usanii na wakakuamini,
Injinia wa mchongo anadanganya watu kwenye media kua aziz hajasain bla bla kibao, kumbe jamaa alishasain bwaba, anatafuta namna badae aonekane mkombozi kwa wanachama wa yanga kwamba amemwini jamaa asaini mbele ya timu kubwa za kaskazini na kusini mwa afrika ili aendelee kukalia kiti cha urais na kula pesa za yanga vizuri..[emoji23]
 
True....anawachezea akili tu
 
Back
Top Bottom