Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Sijapendaa kabisaa, Nimeumia mno kutoka huyu kaka, nilikua nampendaa hataree!!
Simba hapa wamezingua, aaaah [emoji53][emoji53][emoji53]
 
Huyu kijili ni right back? Kama ni hivyo Simba watakuwa wamepata mchezaji mzuri sana wa kuongeza nguvu upande wa Kapombe.
 
Si ndo story wanasimba mnataka kuziskia, acha awape hicho mnachotaka kuskia.
 
kati ya vitu vya kijinga kuwah kutokea kwenye dunia ya mpira ni mchezaji kuacha pesa na kufata ushabiki wa timu [emoji1][emoji23][emoji706]
 
kati ya vitu vya kijinga kuwah kutokea kwenye dunia ya mpira ni mchezaji kuacha pesa na kufata ushabiki wa timu [emoji1][emoji23][emoji706]
Tatizo njaa zako unataka kuzihamishia kwa kila mtu! Kwani hapo alipobaki halipwi? Au unafikiri pesa ndiyo kila kitu katika hii dunia?

Kama ni hivyo basi Kylian Mbape na Leonel Messi wasingetaa ofa ya kwenda kucheza Uarabuni. Maana waliahidiwa mamilioni ya dola.
 
Mkuu nani anaweza kukataa sgning fee ya milioni 800+ na mshahara wa milioni 85+ ?
Agent mwenyewe anataka hela , hawa utoz wanaleta sjui upenzi na ushabiki kwenye hela[emoji23]
Hivi signing fee ni ya mchezaji au team?
 
Ona hili jinga!

Unawaza ama kufikir kwa kutumia mapumbu yako?

Unaacha mshahara wa milioni 97 unasaini timu inayokupa mshahara wa hovyo sababu tu unapewa hype na makapuku kama wewe na kumdanganyia hamisa mobeto ..
Hizi hasira za kutaka kutawala maisha ya watu hazitakifikisha kokote zaidi ya kukuumiza moyo. Hivi unajuaje kama amepewa pesa zinazolingana na mshahara huo nje ya Zilizoandikwa? Hakuna palipoandikwa amesaini Kwa masharti gani lakini mwenzetu umetokwa povu utadhani umechukuliwa mke?
 
Ona hili jinga!

Unawaza ama kufikir kwa kutumia mapumbu yako?

Unaacha mshahara wa milioni 97 unasaini timu inayokupa mshahara wa hovyo sababu tu unapewa hype na makapuku kama wewe na kumdanganyia hamisa mobeto ..
Aziz alisaini mapema kabla ya hata ligi kuisha. Yanga waliamua kukaa kimya. Aziz asingeiacha hiyo ofa kama angekuwa hajasaini. Ndo maana kwenye mkeka huu wa tetesi, tetesi namba moja ni ya Aziz kusaini miaka miwili Yanga
 
Victorien Adebayor ni mali ya Singida Black Stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…