- Thread starter
- #801
😂Hizi zote mbwbwe tu ,,, injinia wa mchongo anataka.kuonekana kama masiah..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂Hizi zote mbwbwe tu ,,, injinia wa mchongo anataka.kuonekana kama masiah..
Hajataka kuongeza mkatabaSijapendaa kabisaa, Nimeumia mno kutoka huyu kaka, nilikua nampendaa hataree!!
Simba hapa wamezingua, aaaah [emoji53][emoji53][emoji53]View attachment 3038005
Si ndo story wanasimba mnataka kuziskia, acha awape hicho mnachotaka kuskia.Ila mkuu nimecheka kitu kimoja, hii nchi unaweza kuwaendesha watu asilimia kubwa kwa usanii na wakakuamini,
Injinia wa mchongo anadanganya watu kwenye media kua aziz hajasain bla bla kibao, kumbe jamaa alishasain bwaba, anatafuta namna badae aonekane mkombozi kwa wanachama wa yanga kwamba amemwini jamaa asaini mbele ya timu kubwa za kaskazini na kusini mwa afrika ili aendelee kukalia kiti cha urais na kula pesa za yanga vizuri..[emoji23]
Bonge moja la signing.Kelvin Kijili to Simba SC?
Ndiyo, ni right backHuyu kijili ni right back? Kama ni hivyo Simba watakuwa wamepata mchezaji mzuri sana wa kuongeza nguvu upande wa Kapombe.
Nani kabaki kwani?Usajili haujaisha
Wewe umemzidi pesa?kati ya vitu vya kijinga kuwah kutokea kwenye dunia ya mpira ni mchezaji kuacha pesa na kufata ushabiki wa timu [emoji1][emoji23][emoji706]
Tatizo njaa zako unataka kuzihamishia kwa kila mtu! Kwani hapo alipobaki halipwi? Au unafikiri pesa ndiyo kila kitu katika hii dunia?kati ya vitu vya kijinga kuwah kutokea kwenye dunia ya mpira ni mchezaji kuacha pesa na kufata ushabiki wa timu [emoji1][emoji23][emoji706]
Kwani unajua hapo alipo analipwa sh ngapi?kati ya vitu vya kijinga kuwah kutokea kwenye dunia ya mpira ni mchezaji kuacha pesa na kufata ushabiki wa timu [emoji1][emoji23][emoji706]
Hivi signing fee ni ya mchezaji au team?Mkuu nani anaweza kukataa sgning fee ya milioni 800+ na mshahara wa milioni 85+ ?
Agent mwenyewe anataka hela , hawa utoz wanaleta sjui upenzi na ushabiki kwenye hela[emoji23]
Mchezaji. Na hapo kama una agent tena inabid umkatie pasenti yake, sasa dogo aziz maskin ya mungu pesa amepewa kidogo sana hapo bado hajampa agent wake,,sjui wamemlogaHivi signing fee ni ya mchezaji au team?
Hizi hasira za kutaka kutawala maisha ya watu hazitakifikisha kokote zaidi ya kukuumiza moyo. Hivi unajuaje kama amepewa pesa zinazolingana na mshahara huo nje ya Zilizoandikwa? Hakuna palipoandikwa amesaini Kwa masharti gani lakini mwenzetu umetokwa povu utadhani umechukuliwa mke?Ona hili jinga!
Unawaza ama kufikir kwa kutumia mapumbu yako?
Unaacha mshahara wa milioni 97 unasaini timu inayokupa mshahara wa hovyo sababu tu unapewa hype na makapuku kama wewe na kumdanganyia hamisa mobeto ..
Aziz alisaini mapema kabla ya hata ligi kuisha. Yanga waliamua kukaa kimya. Aziz asingeiacha hiyo ofa kama angekuwa hajasaini. Ndo maana kwenye mkeka huu wa tetesi, tetesi namba moja ni ya Aziz kusaini miaka miwili YangaOna hili jinga!
Unawaza ama kufikir kwa kutumia mapumbu yako?
Unaacha mshahara wa milioni 97 unasaini timu inayokupa mshahara wa hovyo sababu tu unapewa hype na makapuku kama wewe na kumdanganyia hamisa mobeto ..