Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Mkuu hayo ndio maumivu ya makolo tuliyokua tunayataka,juzi na jana walishaanza kudanganyana kuhusu ki 😂,maumivu waliyonayo leo usipime
 
kati ya vitu vya kijinga kuwah kutokea kwenye dunia ya mpira ni mchezaji kuacha pesa na kufata ushabiki wa timu [emoji1][emoji23][emoji706]
Naona umeumia sana mkuu.
 
Aziz alisaini mapema kabla ya hata ligi kuisha. Yanga waliamua kukaa kimya. Aziz asingeiacha hiyo ofa kama angekuwa hajasaini. Ndo maana kwenye mkeka huu wa tetesi, tetesi namba moja ni ya Aziz kusaini miaka miwili Yanga
Vipi baleke
 
Jonathan Alukwu anafukuziwa na Simba SC kama dili la Elie Mpanzu litafeli
Mkuu hizi taarifa kuwa Simba wamepeleka ofa ndogo kwa Mpanzu ndio maana anasuasua je kuna ukweli wowote au redio mbao tu zinazusha?
 
Mkuu hizi taarifa kuwa Simba wamepeleka ofa ndogo kwa Mpanzu ndio maana anasuasua je kuna ukweli wowote au redio mbao tu zinazusha?
Hakuna ukweli. Mchezaji aanadai kabaki na mkataba wa miezi minne klabu inadai ana mwaka mmoja hivyo Kuna mgogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…