Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Hizi hasira za kutaka kutawala maisha ya watu hazitakifikisha kokote zaidi ya kukuumiza moyo. Hivi unajuaje kama amepewa pesa zinazolingana na mshahara huo nje ya Zilizoandikwa? Hakuna palipoandikwa amesaini Kwa masharti gani lakini mwenzetu umetokwa povu utadhani umechukuliwa mke?
Mkuu hayo ndio maumivu ya makolo tuliyokua tunayataka,juzi na jana walishaanza kudanganyana kuhusu ki 😂,maumivu waliyonayo leo usipime
 
kati ya vitu vya kijinga kuwah kutokea kwenye dunia ya mpira ni mchezaji kuacha pesa na kufata ushabiki wa timu [emoji1][emoji23][emoji706]
Naona umeumia sana mkuu.
 
Aziz alisaini mapema kabla ya hata ligi kuisha. Yanga waliamua kukaa kimya. Aziz asingeiacha hiyo ofa kama angekuwa hajasaini. Ndo maana kwenye mkeka huu wa tetesi, tetesi namba moja ni ya Aziz kusaini miaka miwili Yanga
Vipi baleke
 
Jonathan Alukwu anafukuziwa na Simba SC kama dili la Elie Mpanzu litafeli
Mkuu hizi taarifa kuwa Simba wamepeleka ofa ndogo kwa Mpanzu ndio maana anasuasua je kuna ukweli wowote au redio mbao tu zinazusha?
 
Mkuu hizi taarifa kuwa Simba wamepeleka ofa ndogo kwa Mpanzu ndio maana anasuasua je kuna ukweli wowote au redio mbao tu zinazusha?
Hakuna ukweli. Mchezaji aanadai kabaki na mkataba wa miezi minne klabu inadai ana mwaka mmoja hivyo Kuna mgogoro
 
Back
Top Bottom