Duuuuuh kuna watu wanazidi kuzibinya makende yaoUwezekano wa Mpanzu kutua dirisha hili ni mdogo. Jamaa wanaofanya uhuni. Ikifika Jumanne mambo hayaeleweki basi Simba itasubiri dirisha dogo ili impate kama free agent. Kramo anapambana abakishwe ila ni ngumu, Onana anarudi kuelekea kambini Misri
Naunga mkono hoja.Inasikitisha sana kwa kweli. Hii nchi ni kama haina wabunge, hili lilipaswa kuwa azimio la bunge hii timu ichunguzwe ukweli ujulikane
Rwanda tena?🦍🦍Kama nilivyoripoti hapo awali, CEO wa Simba bwana Imman Kajula anaweza kuondoka Simba SC baada ya Simba day. Francois Regis kutoka Rwanda anaweza kuchukua nafasi yake
Yeah, huyo jamaa ni mtu wa mpiraRwanda tena?🦍🦍
Asili yake ni Rwanda au anafanya kazi Rwanda kwa sasa?Yeah, huyo jamaa ni mtu wa mpira
Ni Mnyarwanda na anafanya kazi APRAsili yake ni Rwanda au anafanya kazi Rwanda kwa sasa?
Yote mema. Nimeona umetoa taarifa ya Somba Somba kurudi, nini kimemkuta huko alikoelekea?Ni Mnyarwanda na anafanya kazi APR
Alikuwa bado Kwa mama yake, hajawahi kuuzwa au kuachwaYote mema. Nimeona umetoa taarifa ya Somba Somba kurudi, nini kimemkuta huko alikoelekea?
Usajili wa Yanga safari hii kama sijauelewa kabisa Acha ligi ianze tuone kinachoenda kujiliAbdulmajid Yahya Mangalo anaweza kutua Yanga kuziba nafasi ya Gift Fred anayetakiwa kumpisha Jean Baleke
Mkuu, naomba nikuulize, hivi ni kweli manula ni msaliti ndani ya klabu?Abdulmajid Yahya Mangalo anaweza kutua Yanga kuziba nafasi ya Gift Fred anayetakiwa kumpisha Jean Baleke
Umbumbumbuni ndo wako hivo.Mkuu, naomba nikuulize, hivi ni kweli manula ni msaliti ndani ya klabu?
Huyu ni yupi? Wa Biashara united amaAbdulmajid Yahya Mangalo anaweza kutua Yanga kuziba nafasi ya Gift Fred anayetakiwa kumpisha Jean Baleke
Yanga wana boresha kikosi, first eleven yao yote ya msimu uliopita nasikia wameibakiza. Huku wakifanya maboresho maeneo kadhaa. Ila ni kawaida sana kwa Yanga kuonekana wamesajili ovyo ila msimu ukianza mambo yanakuwa wazi sasa. Msimu uliopita hakuna timu iliyobezwa kwa kusajili ovyo kama Yanga huku ikitolewa kwenye top 2.Usajili wa Yanga safari hii kama sijauelewa kabisa Acha ligi ianze tuone kinachoenda kujili
SI yeye tu hata wengi wa walioondokaMkuu, naomba nikuulize, hivi ni kweli manula ni msaliti ndani ya klabu?
YesHuyu ni yupi? Wa Biashara united ama
Sawa. I hope anaondoka mazima. Au?SI yeye tu hata wengi wa walioondoka
Mkopo hasa ili waendelee kummonitorSawa. I hope anaondoka mazima. Au?