Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Uko sahihi lakini kulingana na mchakato wa umiliki unavyozidi kusogea mbele, utaratibu unakulazimu kuwa na bodi na watendaji wengine wenye mamlaka zinazoeleweka. Hapo ndipo ugumu wa kuwa na mtu mmoja anayefanya kazi zote za msingi huja. Bodi ikishakuwepo maana yake Ina mamlaka na Kila mtu atapaswa awe na majukumu yake muwe mmeyapanga nyote na kukubaliana
Tatizo sio bodi! Ni changamoto ya watu walio kwenye bodi, mfano mtu kama masoud atasaidia nini mtu anatukana mpaka bidhaa za mdhamini wa club just imagine! Yanga itaendelea kuongoza na kuchukua ubingwa kwa muda mrefu! Simba ina viongozi ambao kila mtu anajiona mjuaji na mwisho lazima wafanye sabotage kwa maslahi yao.
 
Simba inapambana kumpata Philipe Kinzumbi kuziba nafasi ya Mpanzu. Dili ni kama haliwezekani kwani Kinzumbi alishasaini Raja Casablanca. Mchezaji anapambana kuvunjiwa mkataba wake klabu inagoma.
Ivi izi hua zinakuaje??

Mchezaj unasaini kwa haraka alf mwisho wa siku ndani ya wakati mfupu unataka kuondoka?
 
FB_IMG_1722443222831.jpg
 
Back
Top Bottom