Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 1,353
- 3,060
Jamaa ni mjinga sana ana kichwa kizito sana halijitambuiMijitu mingine sijui ipoje. Mtu anaona kabisa ajira iko mashakani kwa sababu ya ubishoo uwanjani lakini yupo vile vile. Au hajui kama watu hawamtaki?