Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Hivi suala la awesu awesu mbona limegeuka machungu wazee, simba kafanya uhuni gani huu.
 
Hivi suala la awesu awesu mbona limegeuka machungu wazee, simba kafanya uhuni gani huu.
Ukweli hautakuwi kusemwa, Ila ukisema kuna njama toka nje unashangiliwa. Ingekuwa rahisi kuvunja mkataba kama alivyofanya Awesu Kwa KMC basi kusingekuwa na haja ya Mikataba.
 
FB_IMG_1723738380524.jpg
 
Uzi huu utapotea muda si mrefu.. ahsante Mkuu Hichilema tukutane dirisha dogo panapo majaaliwa
 
Matokeoa mabaya yanamuondoa ustadhi pale Azam FC na kule Namungo ndugu Zahera nae nasikia kaondolewa.

Watanzania wenye uchungu na mpira wa nchi hii ni muda wenu sasa kupeleka CV zenu mpate kazi kumbuka mshahara pale Azam, unavuta 10+ milioni na marupurupu ya kutosha cha msingi team ipafomu kama Yanga.

Mgunda na matola nadhani hii kazi inawafaa kwa sasa na makocha wote wa JF kama kina Boban n.k
Kalpana achukue mikoba Namungo.
 
Back
Top Bottom