OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hakuna kitu pale, bora wangekomaa na Mayele kama hakuna kikwazoNimefuatilia huyu si mzuri sana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu pale, bora wangekomaa na Mayele kama hakuna kikwazoNimefuatilia huyu si mzuri sana..
Ubahili nao.Hakuna kitu pale, bora wangekomaa na Mayele kama hakuna kikwazo
Piga chini Ngoma.Elie Mpanzu amefeli majaribio yake huko Ubelgiji
Wamuwahi sasa kabla ya dirisha, atatusaidia huyuElie Mpanzu amefeli majaribio yake huko Ubelgiji
Hiyo pesa ya striker tuongezee tumlete huyuElie Mpanzu amefeli majaribio yake huko Ubelgiji
alitudengulia huyu, aende hata yangaElie Mpanzu amefeli majaribio yake huko Ubelgiji
Ngumu sanaalitudengulia huyu, aende hata yanga
Vipi kuja simba ?Ngumu sana
Ukweli hautakuwi kusemwa, Ila ukisema kuna njama toka nje unashangiliwa. Ingekuwa rahisi kuvunja mkataba kama alivyofanya Awesu Kwa KMC basi kusingekuwa na haja ya Mikataba.Hivi suala la awesu awesu mbona limegeuka machungu wazee, simba kafanya uhuni gani huu.
Ngumu piaVipi kuja simba ?
Huyo mkameruni amechukua nafasi ya nani?
Wasiliana na chama Cha soka kwenye mkoa wako watakupa utaratibu hasa kama umri wako bado ni mdogo basi fursa ni kubwa sanaMafunzo ya ukocha au refarii mikoani tunapataje tafadhali naona mpira una fursa nyingi.