Tetesi: Tetesi za usajili ligi kuu Tanzania bara 2024/2025

Tatizo sio bodi! Ni changamoto ya watu walio kwenye bodi, mfano mtu kama masoud atasaidia nini mtu anatukana mpaka bidhaa za mdhamini wa club just imagine! Yanga itaendelea kuongoza na kuchukua ubingwa kwa muda mrefu! Simba ina viongozi ambao kila mtu anajiona mjuaji na mwisho lazima wafanye sabotage kwa maslahi yao.
 
Simba inapambana kumpata Philipe Kinzumbi kuziba nafasi ya Mpanzu. Dili ni kama haliwezekani kwani Kinzumbi alishasaini Raja Casablanca. Mchezaji anapambana kuvunjiwa mkataba wake klabu inagoma.
Ivi izi hua zinakuaje??

Mchezaj unasaini kwa haraka alf mwisho wa siku ndani ya wakati mfupu unataka kuondoka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…